Wanawake acheni dharau

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakati nasoma Kibaha Boys Sec. School advance nilikutana na mdada mmoja akiwa anafanya kazi Tumbi Hospital, nikamwambia ninakupenda Sana akanambia Ww Ni Mwanafunzi utanipa Nini?

Okey Nikamwambia Asante kwa ujasiri Tu, sikujua kwa Nini nilimwambia Hivyo, nikamaliza form 6 Nikapata sikolashipo ya Kuja Kusoma Law Huku USA, nikamaliza kusoma zangu Nikapata Kazi Huku USA.

Sikujua alipataje mawasiliano yangu alivyosikia naishi Huku akaanza kuomba msamaha nimsahehe Kwamba akujua Kwamba nitafikiwa so anajutia alichokifanya? Wakuu Niko Kwenye denial situation Wakati mm Nina mke na Watoto wawili nafanyaje??
 
Kwamba hapo ndo mwish wa akili yako yooote ? Ebu jikaze acha kulegea legea mkuu. Hakuna lolote hapo fanya yako
 
Ushauri wangu mi naomba uniandikie barua ya mwaliko ili tu nipate passport maana naambiwa passport haipatikani bila uthibitisho kwamba nakaribia kusafiri
 
Alikuwa. Sahihi wakati ule

Si vizuri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mwanafunzi
Utarudisha maendeleo yake nyuma.
 
Kwamba hapo ndo mwish wa akili yako yooote ? Ebu jikaze acha kulegea legea mkuu. Hakuna lolote hapo fanya yako
Hapana sijalegea Mkuu Nakumbuka Maisha ya Kwetu Marangu Mtoni, ninakuwa na Kahuruma Fulani Ila siwezi Kuwa nae tena
 
Bado kashata mkuu (joke)
IMG_20210517_182420.jpg
 
Sasa mkuu hapo tunashaur Nini,
wkt wee mwenyewe umekiri kabisa tayar una MKE na watoto wawili.

Labda utuambie wee lengo Lako lilikuaa ni Nini hapo kabla kwa Uyo mwanamke unazungumzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom