Hiyo kwa pesa za kibongo inakuwa sh.ngapi mkuu?
Tuchukuwe tahadhari waBongo TUSIIGE... tusianze kufuata mambo geni " jameenii tusiige uchafu huo!!
Madhara yake ni makubwa.
Mbona hiyo kitu hapa Bongo ni ya kawaida sana? Nilisikia wasichana fulani wakisimulia issue kama hiyo kwenye program ya Njia Panda inayorushwa na Radio Station moja hapa nchini kila wiki....
Mombasa...!
mkuu usiwachokoze. hawa jamaa hawana maana kabisa.Mbona siwaoni wakina mwanaidi, sikudhani, sikujua n.k, hao itakuwa wazungu nao, hakuna jina la kiswahili hapo, mana wazungu ndio washenzi.
Dog alifaidi, dahhh!!! Sijui kama ametairiwa huyo mbwa au bado ana Mkono wa Sweta.
Ilishawahi kutokea TZ miaka
ya tisini, na ilikadiriwa kuwa zaidi ya masista duu mia waliokuwa
wanababaika na wazungu walifanyiwa vitendo na mbwa. Wale wazungu
walikamatwa hata sijui waliishiaga wapi.