wewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!
mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu
Mimi humu kinachonishangaza yani ukiwa upande wa pili usio wao unashambuliwa na payroll za RA wao ukiwapeleka kwa staili hiyo hiyo utasikia marefarii anavunja sheria za JF afungiwe etc.
Wapeni watu uhuru wa mawazo ,kinachoendelea humu sometimes ni VIRTUAL COLONIZATION ya kwamba lazima uwe upande wetu ? utafikiri memba humu wengine ni wanyama waendeo marishoni yani ya kwamba lazima wafuate njia aipandayo bwana wao
Afterall who is RA ?tumewashindwa MAFISADI wa KWELI waliopanga madili eti tunakuja kukurupuka na RA.
Kwa pesa za EPA na zinginezo role ya RA inafanana kabisa na ya Balali ma BACKBONE wa dili twawafahamu nao wa fahamu kumshitaki RA ni kumwonea maana wezi ni wao.
Hivi wewe ikitumwa kuondowa moshi unaowasumbua utaenda kuzima moshi ama utaenda kuzima moto.
kwa mtazamo wangu WANASIASA wote wanaojidai eti wanafanya mapiganio ya mustakibali wa Taifa ni wanafiki ni wazushi ,wanavyo vielelezo vyote wameshindwa kuvipeleka Mahakamani ama wameshindwa kwenda kushitakia ktk umoja wa mataifa kwanini hawaendi kushitakia kwa sababu kufanya hivyo HAWATAKUWA na HOJA MAJUKWAANI.
raha ya mlevi ni kubwabwajahey wewe,ukishafahamu source then usaidiwaje.. utawafata au ni nini hasa?
Ina maana unawatumikia watu wa IGUNGA now kwa kuleta hoja zao hapa JF?wewe webiro sijui,yani unadhani rostam ana muda wa kukaa hapa jamii forums na ku pose as yessir na ana kazi ngumu ya kulitumikia taifa na igunga. GIVE ME A BREAK
raha ya mlevi ni kubwabwaja
wacha kutukipu bize watu tuna ishu za maana kujadili humu.
endeleza mipasho labda utakuja kutoa albamu siku moja shekhe.
Ina maana unawatumikia watu wa IGUNGA now kwa kuleta hoja zao hapa JF?
Uliwasiliana lini na RA akakuambia kuwa hana muda wa kupitia JF?
Baba hili ni shamba lingine na si shamba la mafisadi. Humu kila memba anakuwa akauntabo na anachopost. Ndo maana tunasisitiziwa kuwa na sources za ishu zetu au la mods wanaiweka kwenye threads za jokes na ucheshi
kwa asilimia ngapi?The observation might be true.
100% na hiyo tabia ya kukwepesha point za watu kwa kuwarushia mafisadi ikome kinachomatter ni kutetea hoja, huyu alichosema sio msimamo wake katoa taarifa juu ya yale yanayosemwa, point ni je kuna ukweli ndani ya hizi tetesi? isije kuwa nu kweli na kuna watu wako kwenye PAYROLL ya mwanakijiji ndio mnataka kupundisha pindisha....
hahahahahahanitakutumia copy mwanangu..signed na autograph
hebu rudia post hiyo hapo chini......dont speak on behalf of people speak for yourself.. wewe ndio unasisitiza
What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round
Invisiblewewe nawe usiongee mambo usiyoyajua..bora uulize,kama nilivyouliza mimi kuliko ku weka conclusions!
mwanakijiji anaongelewa every where.. hadi kwenye michuzi amesutwa kwamba ni fisadi na ni mtoto wa fisadi..sasa what does that have to do with me. anyways sawa nimeshapata majibu
mkuuInvisible
Kuna umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kufungia watu/kublock posts ambazo zinakosa MASHIKO.
Mimi nilipata ajira kupitia posts za JF
faida ipo nyingi sana zaidi ya kuwakoma nyani giladi mafisadi. nakuunga mkono mkuu komamanga
Nimekusoma Mkulumkuu
mara nyingine inabidi watu kama hawa wasifungiwe na robot ili kuweza kubalansisha jukwaa. kwani bila ujinga basi hekima haina thamani
Including you!!.....or??What they say about this forum?kwamba its corrupted by mwanakijiji,na ni forum ya kifisadi! I have one word: Wake up.. If that is true. Thats the rumour going round