Wanausalama wetu

Wanausalama wetu

cenzo

Senior Member
Joined
May 7, 2015
Posts
124
Reaction score
28
Hawa ndio Wana usalama wa taifa letu
 

Attachments

  • 1434481466802.jpg
    1434481466802.jpg
    41.1 KB · Views: 885
Niko mikononi mwa polisi, maisha yangu sasa ni mikosii, afwandeeeeeee!
 
Matusi ya nini Sasa!! Bavicha akili zenu kama za ng'ombe tu, Huyo mzee ni zaidi ya makamo ya baba yako na ana paka wengi anawafuga wenye kukuzidi umri. acha dharau.
Mbona unatoa povu au huyo ndata ni dingi ako nini?
 
mbona kama anambaka huyo dereva bodaboda? mkao gan huo kaacha nafasi kubwa nyuma kaenda gusa wowowo la braza wawatu!
 
Matusi ya nini Sasa!! Bavicha akili zenu kama za ng'ombe tu, Huyo mzee ni zaidi ya makamo ya baba yako na ana paka wengi anawafuga wenye kukuzidi umri. acha dharau.
Onyesha tusi hapo liko wapi???BAVICHA shangazi yako mke wa MBOWEE, unikome kunichanganya na UKAWA wala mashetani SISIEM wala chama chochote cha siasa, na usiniquote mana sitakujibu
 
amepanda bodaboda bila kuvaa helmet ya kujikinga kichwa, alafu utakuta anakamata boda boda asievaa helmet
 
Back
Top Bottom