kwahiyo chochote kikimkuta mtanzania katika nchi ya malaysia hakuna wa kushugulikia ? balozi za karibu na huko hazina wana usalama wanaoweza kusaidia watanzania ? hii balaa hata hivyo nimeomba mpaka kenya kwa sababu hii yote ni afrika ya mashariki kuna mtanzania mwenzetu anahitaji msaada wa haraka sana huko alipo