Wanausalalama wetu malaysia

Status
Not open for further replies.

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na wanausalama wa Tanzania wowote aliye Malaysia naomba Contacts zake au unaweza kuwasiliana kwa +255716 494151 Msaada wa haraka sana unahitakija Ahsante
 
Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na wanausalama wa Tanzania wowote aliye Malaysia naomba Contacts zake au unaweza kuwasiliana kwa +255716 494151 Msaada wa haraka sana unahitakija Ahsante
Acha kuchemka you wanna make people know who you are while not.Live Your life
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wana usalama wanatafutwa hapa! acha mauza uza ww kijana ,piga simu ofisini kwao omba unachoomba .
 
kwahiyo chochote kikimkuta mtanzania katika nchi ya malaysia hakuna wa kushugulikia ? balozi za karibu na huko hazina wana usalama wanaoweza kusaidia watanzania ? hii balaa hata hivyo nimeomba mpaka kenya kwa sababu hii yote ni afrika ya mashariki kuna mtanzania mwenzetu anahitaji msaada wa haraka sana huko alipo
 
Shy balozi wetu huko yupo hapa Bongo kwenye harusi ya mtoto wake, sasa mtafute atakusaidia au ni-PM nitakusaidia namna ya kumpata.

Thanxs!
 
Usijali hiyo ni njia ya mawasiliano pia na kila mtu ana njia yake ya kuwasiliana unachotakiwa ni kuelewa tu maongezi
 
I do not know what you mean unaposema wanausalama. Lakini kama unataka kufahamu kuhusu wanausalama wetu Malaysia,muulize Cisco. Atakuwepo Karimjee Hall kesho saa mbili usiku.
 
kwahiyo chochote kikimkuta mtanzania katika nchi ya malaysia hakuna wa kushugulikia ? balozi za karibu na huko hazina wana usalama wanaoweza kusaidia watanzania ? hii balaa hata hivyo nimeomba mpaka kenya kwa sababu hii yote ni afrika ya mashariki kuna mtanzania mwenzetu anahitaji msaada wa haraka sana huko alipo

Hivi mtu akipata shida nje ya nchi inabidi awatafute wanausalama ili wamsaidie na siyo kwenda kwa ubalozi?Au ubalozi ndiyo wanausalama wenyewe?Manake mimi sielewi hapa
 
Kila nchi inatakiwa iwe na watu waliotayari kutetea maslahi yake na ya raia wake popote duniani ndio maana nilitaka wanausalama naamini wao ni wapambanaji wazuri zaidi katika kutetea maslahi yetu popote pale
 
Oyoo yes ndio nilifanikiwa kuwasailiana na mmoja mtaalamu wa malay na singapore na nimeshampa contacts za mtu wa huko malay waweze kuwasiliana zaidi na tarehe 9 mwezi ujao kuna wengine watakuwa huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom