Wanaume'maharage ya 'mbeya' wako hivi

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa mwanamke(mbunge)wa miaka 60, huenda alihadiwa vitu vya bei mbaya kama wafanyiwavyo baadhi ya akina dada.Kiufupi mwanaume maharage ya mbeya yuko hivi..
=Anapenda kuchekacheka akiwa na wanawake,
=Akitumwa hata vocha na mwanamke anakubali(wadada jaribuni muone ukweli)
=Wanapenda kujinyenyekeza kwa wanawake
= Wakipigwa busu na mwanamke utaona wanaanza kukenua meno harafu wanaanza kushangaa-shangaa pembeni,
=Huwa wanapenda kutanguliza neno samahani kama wanaongea na mwanamke
=Wanapenda kujifanya wasamaria wema kwa mwanamke hata kama mwanamke ni matawi juu. MAHARAGE YA MBEYA MAJI MARA MOJA, Haya wadada leteni sifa za wanaume wa "maji mara moja"
 
Hii tabia ya kuwaona wadada miungu mbaya sana!Siku ukifulia na kuhangaika ni washkaji zako tu watakaokusaidia!!
 
Naona mzee umeamua kuja na ya Wanaume sasa ok...lakini wanaofanya hivyo hao sio " Wanaume" hao ni "watoto wa kiume"
Hao ndo wale hata maisha. yakiwakaba sana wanaweza toa hata "jicho" ili mradi tu apate sifa
 
We ungewasilisha hoja yako bila kutoa mfano huo uliotumia


Ondoa Siasa zako zilizopitwa na wkt
 
Nadhani umechanganyikiwa. Hizo ulizoziweka ni sifa za mwanaume mjasiriamali. Ameona fursa na kuitumia..
 
Naona mzee umeamua kuja na ya Wanaume sasa ok...lakini wanaofanya hivyo hao sio " Wanaume" hao ni "watoto wa kiume"
Hao ndo wale hata maisha yakiwakaba sana wanaweza hata "jicho" ili mradi tu apate sifa

usikate ndiyo mnanachekacheka na kujipendekeza
 
  • wanapenda kujiona smart mda wote na kuangalia mwanamke kwa kuiba iba.
  • wakiwa wanaongea wanalambalamba lips zao na kugeuzageuza macho
  • wanajifanya matawi ya juu kumbe mburura
  • ni wabakaji.
  • wanastory nyingi zinazoanzia na "mimi bla bla............"
  • wanapenda kuwa in groups na haddith zo nikuongelea mademu wasiyoweza wapata.
 
Hakuna mwanaume ambaye ni maharage ya Mby. Labda ukisema maharage ya Tarime sawa.
 
Naona mzee umeamua kuja na ya Wanaume sasa ok...lakini wanaofanya hivyo hao sio " Wanaume" hao ni "watoto wa kiume"
Hao ndo wale hata maisha yakiwakaba sana wanaweza hata "jicho" ili mradi tu apate sifa

blaza umemaliza mtoto wa kiume ndio wenyetabia asemavyo lakini mwanaume kamwe...
 
Mi sina la kusema zaidi ya kukumbushia tu kuwa sometimes ................matters of the heart............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…