Wanaumeee...!

Wanaumeee...!

Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume

Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000

Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali

Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk

Usiniulize kipato,

Wanaumeee...!
Luku 3000 Una taa moja tu?,kodi elf 15000 hiyo room ipoje?
 
Acha kuishi Kwa kukalili mkuu ,Kuna wanaume wanahudumiwa na wanawake ,jilaumu Kwa kuoa mke hohehahe,lazima jasho likutoke.

Vipi waume wa hawa wanawake nao wanaacha matumizi,mama samia ,Tulia ackson,jenister mhagamama nk.?
 
Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume

Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000

Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali

Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk

Usiniulize kipato,

Wanaumeee...!
Kazi ipo Bado wa tuma na ya kutolea!
 
Aise pole unaonekana umekorogwa ila sio wewe peke yako tuko wengi ila kuna vitu umesahau
****Sadaka ya kumpelekea Bushiri yule wa Congo aliyefukuzwa Tanzania huko anatucheka sisi Wadanganyika kwa sasa
****Hujaweka kahela ka mchepuko wako
****Hujaweka school fees za watoto hata kama wanasoma shule za kata.Mimi kuna siku nilikaa chini nikaanza kupiga hesabu watoto wangu walianziaga wanaita siku hizi pre 1 halafu prep 2 kisha std1 hadi std 7.
Form one hadi form four.Kisha form five hadi form six.Kisha chuo maana hawakupata mkopo.Nikawajumlisha wote japo sasa wanafanya kazi wawili mmoja ndio yuko chuo wa mwisho.
Nikaanza kujiangalia mbona sasa mimi sio tajiri uwezo huu niliutolea wapi wakati maisha yangu ni ya kawaida.
Nilichanganyikiwa nikaenda kiti kirefu nikamwambia waiter lete moja baridi moja moto kisha malizia ya uvuguvugu akili ikae sawa.
 
Ila wanaume wa jf kuwaelewa aiseee. Inabidi ujiunge na bando la mwezi kila siku.
J3-kataa ndoa, ndoa ni utapeli
J4- usioe mwanamke hasiye na kazi
J5-mke hahudumiwi, wewe sio babaake.
Al-wanaume tujijali wenyewe tu, ukizeeka watoto watakutupa
Ij- wanaume tukifa wanawake hawataweza kuhudumia watoto
Jmos- wanawake Wanawke wanawake😂😁😁😁😁(yani hapa threads zote ni wanawake tunapondwa hadi tunakuwa ungaunga)
J2 sasaaaa- wanaume wote wanahudumia familia.
 
Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume

Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000

Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali

Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk

Usiniulize kipato,

Wanaumeee...!
Mbona hujaweka nauli ya kila siku kwenda na kurudi/bodaboda?
 
Hayo ni matumizi ya mtu mwenye kipato, huku kijiji.

Maji hatununui tunateka kwenye mashimo ya wazi. Salmonela typyii? Na Amoeba walishatuzoea.

Chanzo cha nishati ni tunafyeka vichaka.
Hakuna maswala ya visimbusi wala ving'amuzi.

Nguo mara moja kwa mwaka, tukivuna mazao, au kipindi cha uchaguzi CCM wakitugawia Tshirts na Kanga sisi tunawapa kura.

Ccm oyeeee
Umaskini oyeeeee
 
Hiyo sadaka yako uwe unaweka hapa JF sisi watumishi tunaiombea sadaka na kukuombea .

Chumba cha 15K inaonekana hapo ulipo ni mkoani .

Matumizi yako ni mazuri Sana sio mbaya
 
Back
Top Bottom