Wanaumeee. ..... Itikeni Naam......

Mimi nakubali kuwa muhanga wa hili jambo...nimeshajiona siwezi kuishi na mwanamke mwingine kila nikijaribu inashindikana. Nadhani sababu nina mtoto naona nmeshamaliza
 
Weee ondoka tu kwani nina shida na wewe...
Ukiondoka ndani ya nusu saa
Unaanza kupokea sms
Baby am sorry
Njoo tuongee
Mi siwezi kuishi mwenyewe
Ukitangulia kufa na mimi najiua
Maisha yangu bila wewe ni sawa na bure

Mashairi unaweza kutungia wimbo kabisa
 
huwaga mnaturoga....
 
Huyo jamaa ni Mkristo maana sisi waislam hatubabaishwi na mwanamke kuondoka.
 
Karibu Ifakara tuonane basi
kama hautojali
 
u never know what u have till u've lost it!
 
huyo atakuwa mvulana aisee, tunaumia sio kwa kukaa na kuanza kulia huo ni ukhanithi
Daaah, inawezekana UMRI ndo umekusukuma unene hayo; Unamkumbuka mtoto wa Dandu, Juma Nature na Sinta? Muulize Afande Sele, Barnaba Boy....n.k

"Umeondoka umeniacha na mawazo mwenzioooo
Umeondoka umeniafanya kila nionapo picha zako ni kiliooo
Hayanilizi mapenzi, kinachoniliza mimi mazoeaaaa
Nilikupenda kwa dhati ndio mana hadi nguo tulisheaa"

Alipoondoka Mama Tunda!

Wazee wengi waliozeeka na wake zao, ikitokea mke akatangulia mbele za haki, mume hatadumu! Vice versa is true.
 

kwamba umri mdogo ama?
 
You know you miss it when it's gone!
 
Shida ni kulala ni kitanda kimoja!
Katika maisha jijengee kulala vitanda tofauti na mkeo itakusaidia mbeleni.
Hii kulala kitanda kimoja umekumbatia tu huku vidole vyake kakuwekea mdomoni hadi unyonye ndo ulale!siku akisepa utakonda km panya mwenye tb!
Mke vitanda tofauti.
Watoto chumba chao.
Hata wakiondoka unaweza kusavaivu kisela muda mrefu hadi akirudi
 
 
Naaammm....tuko tofauti bibie.....binamuyo atakuwa yai la kisasa.....mie namuongezea na nauli....chaaaaa.....na talaka itamfuata huko huko.....maisha yenyewe mafupiii.....ila kwenye watoto hapo ndo shughuli.....lazima kuwepo mjadala.....
 
Haswaaaaaa ni mwanaume suruali, wavulana,na wale wanaume baadhi, waliotokana na malezi mabovu na makuzi mabovu tu ,ndio Hawajui thamani ya mke.
 
hhehehehe mie sipo kwangu toka alhamis !bas hayo maswali ya"UNATEGEMEA KURUDI LINI' meeeeeengi!pyeee !

apambane nna hali yake! au la akafie hukooo!(BInamu yako)
Wapi hiyo shoooo ninakaribia miezi miwili sasa sipo home baaasi nikwambie natongozwa upya pya nachumbiwa mwenzio simu zisizo na idadi hahahaha za i miss you baby girl leo nimekuwa baby!!! Shutuuuu

Namalizia kumuoshea mtu vyombo kwaheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…