Wanaumee: Mke na kimada kuwa marafiki...!

Wanaumee: Mke na kimada kuwa marafiki...!

Habari JF??

Ni jamaa umeoa, then ukaamua kuchepuka na bahati mbaya mkeo akaujua mchepuko!! Si unajua mjini umbea...!!

Mkeo kakuuliza ukakana, siku ya siku unawakuta wapo pamoja tena wanaonekana ni marafiki wakubwa! Ila ulipoanza mahusiano na kimada wote walikuwa hawajuani kabisa isipokuwa kimada ndiye alikuwa wa kwanza kumjua mkeo tuu!!

Sasa imekuwaje kakubali kuwa rafiki wa karibu wa mkeo? Ili iweje ilhali anajua kabisa anamuibia mume na wewe unajua kabisa mkeo kaanzisha urafiki na mwizi wake tena anajua anamuibia?

Je, utaendeleza mahusiano na kimada?

Yaani ukiona ivyo jua kiama chenu kimefika
 
Kn nyumba nilipanga kinondoni, jamaa akawa anapiga kimada wa banda la uani na mkewe yupo nyumba kbw! Bht nzr hawakujuana!
 

Makubwa kidogo basi, nyumba imekuwa ya moto kuingia saa tisa usiku na kumi na moja ushasepa!! Ofisi ndiyo imekuwa ya maana kwa sasa unafanya kazi mpaka huoni tena kazi ya kufanya!!
 
Mbona rahisi,mimi kuna manzi namgonga na wapo best sana na waifu wangu,na wala waifu hawezi shtuka kitu chochote.Tena hapo jamaa ataendelea kula kiulaini kweli,na unaweza kupata data nyingi za mkeo kupitia hiyo small house sema inabidi uwe makini sana kwa sababu anaweza kukuorodheshea wanaume wanomgegeda mkeo kumbe ni usanii tu

Duh .....

Hii ni balaa...
 
Makubwa kidogo basi, nyumba imekuwa ya moto kuingia saa tisa usiku na kumi na moja ushasepa!! Ofisi ndiyo imekuwa ya maana kwa sasa unafanya kazi mpaka huoni tena kazi ya kufanya!!

Hamu yote ya kimada imekuisha!
Pole.
 
Back
Top Bottom