Wanaume wote mlio oa, hongereni sana.

Wanaume wote mlio oa, hongereni sana.

Biblia ganda la mbele mpaka la nyuma, hakuna panapoonyesha Adamu alimshukuru Mungu kwakumletea mwanamke msaidizi. Mungu na Adamu sio wajinga
 
Ndoa tamu sana kama ukiwa na akili timamu ( kujitambua na kutambua upo stage gani )
 
Pambana kuoa pale mwanzo ni kutamu balaa mna gegedana kama vita
 
Commitment ikiwepo hakuna linaloshindikana..jitahidi kufumbia macho mambo mengine ili utimize nadhiri yako ya kuweka jiko ndani, umri haurudi nyuma mkuu haha hahh hahah
 
Nampango wa kujilipua na Mimi......Ila elimu ya ndoa nayopewa kanisani inanitisha sana, percentage naona zinapungua hivi
 
Back
Top Bottom