Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
- Thread starter
-
- #121
Mwanaume hata vibaka wakikutisha hushtuki. Sio teketeke Kama Mtoto wa kike.Mwanaume shurti uwe unatishatisha, sio mwanaume unakuwa mweupe pyee kama yule presenter anayejichubua
Tule bisi, tunaweza kuvua kuku wa kienyeji baharini!Tuko wengi asee.. Kweli leo tumekumbukwa mablacklist
Maneno yako ndo yamefanya nikenueSio kunikenulia sasa[emoji4]
Naturally wanaume weusi halafu warefu huwa na mihogo....Siiwezi. Kwani black wanamihogo mikubwaaa.nipe mfano ukiweka na pic yako itakuwa nafuu kudhibitisha
Hatutafuti.Mkiamua kutafuta wanaume weusi, mjue Mimi pia mweusi!
[emoji23]Tule bisi, tunaweza kuvua kuku wa kienyeji baharini!
Unawazibia mashoga zako!Hatutafuti.
Naendeleza leo kwa hisani ya donaTule bisi, tunaweza kuvua kuku wa kienyeji baharini!
Thibitishaaaa tuone hapa[emoji85][emoji85][emoji85] Kama kweliNaturally wanaume weusi halafu warefu huwa na mihogo....
[emoji15]Maneno yako ndo yamefanya nikenue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida tupuMweupe mkigegedana anakuwa mwekundu hadi anatia kichefuchefu utadhani anataka kufa,
Mimi mwembamba. Mweusi. Mrefu. Nategemewa home kubadilisha balbu bila kutumia ngazi au kiti.Mweupe mkigegedana anakuwa mwekundu hadi anatia kichefuchefu utadhani anataka kufa,
Mungu wangu... Bahati nyingine hii hapa sasa.Mweupe mkigegedana anakuwa mwekundu hadi anatia kichefuchefu utadhani anataka kufa,
xax mbn hapo profil yako umewek mtu mweup au unamanish weup gani roho ama nnSalaam..
Nilipokuwa mdogo.kabla sijawa mkubwa wa kujitambua nilikuwa napenda sana wanaume weupe.
Na akili za utoto tena, Nikawa nasema kwa nini baba hajawa mweupe,,
Pengine nami ningekuwa mweupe.
Tokea nimefikisha miaka kumi na mitano na kuendelea mpaka Leo.
Sijawahi kuwapenda wanaume weupe hata kidogo.
Sio kwa ubaya. Ila sina mapenzi na rangi nyeupe kabisa.
Angalau mwanaume awe na rangi ya Maji ya kunde,
Mda mwingine mpaka najiuliza vipi hawa wanawake wanawapenda wazungu??,
Ikiwa Mimi mwanaume akiwa mweupe haijalishi ni mwafrika au Mzungu si wapendi kivileee..sio kimapenzi hata kwa urafiki wa kawaida tu...
vipi wewe unavutiwa na mweupe au mweusi.
Si ukacheze netball sasa. Naona unaundugu na hashimu thabitiMimi mwembamba. Mweusi. Mrefu. Nategemewa home kubadilisha balbu bila kutumia ngazi au kiti.
Sio mweupe.ni Maji ya kundeeeMungu wangu... Bahati nyingine hii hapa sasa.
UmepitilizaMimi mwembamba. Mweusi. Mrefu. Nategemewa home kubadilisha balbu bila kutumia ngazi au kiti.
Me wazungu siwapendei ile flat screen tu! dah! hata awe mweus kama chungu cha bibi ake Bashite kule Koromije ila kama ni flat screen hanifai kwel kwel,,, not to that extentInaweza kuwa kweli dada
Manaan mm binafsi madem wakizungu hata aweje na avaaje sisimki kama dem wa kiafrica atakavyo nisisimua,
Yaani sina mzuka na wazungu kwenye ngono.