Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,974
- 5,108
Cha ajabu wakitaka kuzaa wanatafuta wanaume weupe
Umeliwa na wangapi mpaka ufikie conclusion hii?Au bidada ni mzushi?View attachment 2969617
mkuu mbona km umemuwekea maneno mdomoni? wapi kaongelea mambo ya kuzaa au shoo imeshakuwa kuzaa?Cha ajabu wakitaka kuzaa wanatafuta wanaume weupe
pole mkuuDa na weupe wangu huu nimeuzunika sana
Ndiyo..Wanaume weusi tuhuma hizi ni za kweli?
[emoji86][emoji86]Inabidi tutafute namba ya kumprove wrong mleta mada tuandae live show weupe vs weusi
mkuu vipi au ndo mambo ya jiwe la gizani?Malaya Square.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona mwanamke anasema anapenda mwanaume mweusi ujue uyo alishawahi kupenda light skin nigga na akapigwa heartbreak na sasa amehamia kwa black mamba akidhani huku ataonewa huruma. Na sisi black mamba hakuna huruma tunapiga heartbreak kama kawaida.