Wanaume wenzangu tuweni makini na hawa wanawake wanaojiuza mitandaoni

Sijui ni ushamba , ujinga, au ni utoto?

Haueleweki mzee!

Embu focus na vitu vya msingi acha uzwazwa na udomo zege!
 
Habari za majukumu wakubwa na wadogo...
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu...
Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake.

Nina mfano mmoja, kuna mdada anatrend sana fb kila wakati na picha zake za kichokozi. Lakini cha ajabu ukimfata messenger anakutumia namba ya wasap, n aukimfata wasap anakutumia namba umtumie kiasi cha tshs 4000 ili akutumie picha umfaham vizuri kutu ambacho ukifanya hivo unaishia kupigwa.

Mimi nimejaribu kumfata nikashindwa maana nimegundua ni tapeli kindaki ndaki.... Jina fb anatumia tamlat tamlat ukimpigia sim hapokei lengo hataki kusikika sauti yake

Anavojidai anakaa Kimara Fuoni Zanzibar. Haya changamkieni fursa ili muje mulete ushuhuda kama nilivoleta mimi hapa.View attachment 1953847View attachment 1953849View attachment 1953851View attachment 1953854View attachment 1953855View attachment 1953858View attachment 1953859View attachment 1953860
Bora walikupiga kwani uliepushwa na mengi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mwana JF mwenzetu keshaliwa 'tuma ela ya boda nije' 😂😂
Mafuta, sitoki bila buku 30,unampa 50 kabisa aje inakua bye bye hautamsikia tena.
Wengi wako tabata.
Nyie malaya siku tutatembeza msako nyumba kwa nyumba mtarudisha hela zote.
Msiseme hamkuonywa.
 
pole kwa kutapeliwa kizembe,Unatumaj pes bila kusikia sauti ya kike
Mkuu huu ni utapeli wa zamani sana kwasasa hakuna mtu anaenipata... Nimemwambia ukweli atafute mbinu ya kisasa ya kutapeli na sio hii kajikausha hakutaka tena mawasiliano na mimi.
 
Sijui ni ushamba , ujinga, au ni utoto?

Haueleweki mzee!

Embu focus na vitu vya msingi acha uzwazwa na udomo zege!
Ni focus na maisha yapi mzee baba... Em nambie hivo vitu vya msingi na mimi niwe navyo maana mimi niko na vya sekondari tu.
 
Mafuta, sitoki bila buku 30,unampa 50 kabisa aje inakua bye bye hautamsikia tena.
Wengi wako tabata.
Nyie malaya siku tutatembeza msako nyumba kwa nyumba mtarudisha hela zote.
Msiseme hamkuonywa.
Na walikuja na style ya kwamba umeme nyumbani kwao umekata umtumie elfu 5000, tena walikua wengi fb wa namna hiyo. Sema baadhi tuliwajua mapema maana nilifatwa na watu kama watatu style moja. Sasa basi mwambie nakuja mwenyewe kukupa mkononi anapotea.
 
Ni focus na maisha yapi mzee baba... Em nambie hivo vitu vya msingi na mimi niwe navyo maana mimi niko na vya sekondari tu.
Ukikuwa vita kuja automatically.. kwasasa endelea kuchat Facebook na hao watu,
Usiumize kichwa chako sana enjoy maisha
 
Back
Top Bottom