Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
My dia kuna baadhi ya wanaume ni manyang'au aiseeh ukirudi toka bafuni unapokelewa na tabasamu fake dah
Huyo lazima na aliemzaa atakua nyang'au!!
My dia kuna baadhi ya wanaume ni manyang'au aiseeh ukirudi toka bafuni unapokelewa na tabasamu fake dah
Huyo lazima na aliemzaa atakua nyang'au!!
bora kujisalimisha mapemaaaaa......Siwawezi nyie...
Katika arguements....lazima ME anyooshe mikono...
Basically, we always losers!
Babu DC!!
hope we sio mmojawapo loh maana inatia hasira kila siku unampa mumeo mang'anyu lakini halidhiki.
umeona eeeh!hahahaha umenichekesha sana,anakumbukia alivyofia kiunoni siku ya pasaka we unajua anakufurahia ama kweli Mungu alituweza kutuficha mioyo ya wengine inafikiria nini
bora kujisalimisha mapemaaaaa......
tushindwe mambo mengine, hata mdomo jamani?
ha haaaaaa, saa nyingine ujue tunajishtukiaga sana!Katiko hilo naona mlipendelewa sana..
Enzi za JKT tungesema mme-burst..
Babu DC!!
Mioyo ya watu siyo transparent mdogo wangu...
Ni kumwomba Mungu ndiye akuvushe salama...ukizingatia kila kona hadi kwenye nyumba zetu kumevamiwa na mazimwi ya kutisha...
Babu DC!!
umeona eeeh!
mbona watu wangeumbuka!
mtu upo naye physically kumbe mwenzio anamuwaza mwingine!
kila akitabasamu unatabasamu back,
unadhani mpo in loooovvveeeeee, kumbe mwenzio anakuchora tu
Asnam, unajuwa hili suala si wewe wala mimi tunaweza kulimaliza. Haya mambo ya kusalitiana tumeyakuta kwani hata wazee wetu walikuwa wanayafanya haya. Tuseme, ni kitu cha kawaida ila inauma pale inapokutokea wewe. Na kusema kwamba eti uhalalishe nyumba ndogo ili wasioneane wivu ni kujidanganya tu kwani penzi haligawanyiki hata siku moja, huko ni kujidanganya tu. Kwenu nyie wanawake, kama mumeo anakuambia anataka kukuletea nyumba ndogo basi ujuwe penzi lake kwako limekwisha.good waongezee dozi nyingine kina baba huruma(hawafungi zipu zao)
babu nahisi nikijua my husband ana allergy na kufunga zipu tutafanya separation of marriage kwa muda usijulikana.
nalijua hilo ndo maana nimejiandalia njia tamuuuuuu ya kutovunja ndoa nayo ni;separation of marriage sio divorceUsitukane mamba mdogo wangu...
Umesahau kwamba binadamu hatuna tofauti na vinyonga??
Babu DC!!
ha haaaa, haya basi babu nimestop.....:tape2:Huko mnakoenda sasa...mhhhhhhhhhhhhhhh....!!
Naona mnataka kuanza kuchora picha kama zile za FBI na jamaa wa Zenji...
Nahofia watu wanaweza kujivisha kitambi kwa kuhisi tu...
Babu DC!!
bora tufunge ndoa ya kimila ili ijulikane muda wowote ataletwa mwenzangu lakini mambo ya kunipeleka madhabahuni halafu unaniletea vidumu unasema ni kitu cha kawaida sikupati kabisa,mke mmoja mume mmoja kufa na kuzikana,hayo mengine ni tamaa za kujiendekeza.Asnam, unajuwa hili suala si wewe wala mimi tunaweza kulimaliza. Haya mambo ya kusalitiana tumeyakuta kwani hata wazee wetu walikuwa wanayafanya haya. Tuseme, ni kitu cha kawaida ila inauma pale inapokutokea wewe. Na kusema kwamba eti uhalalishe nyumba ndogo ili wasioneane wivu ni kujidanganya tu kwani penzi haligawanyiki hata siku moja, huko ni kujidanganya tu. Kwenu nyie wanawake, kama mumeo anakuambia anataka kukuletea nyumba ndogo basi ujuwe penzi lake kwako limekwisha.
hivi separation in tofauti gani na divorce? kihisia siyo kisheria.....nalijua hilo ndo maana nimejiandalia njia tamuuuuuu ya kutovunja ndoa nayo ni;separation of marriage sio divorce
hivi separation in tofauti gani na divorce? kihisia siyo kisheria.....
mi naona bora niwe divorced ili niendelee na mambo mengine, kuliko kujidanganya nipo ndani ya ndoa ambayo haipo
Ufuska tu,
bora tufunge ndoa ya kimila ili ijulikane muda wowote ataletwa mwenzangu lakini mambo ya kunipeleka madhabahuni halafu unaniletea vidumu unasema ni kitu cha kawaida sikupati kabisa,mke mmoja mume mmoja kufa na kuzikana,hayo mengine ni tamaa za kujiendekeza.