Wanaume wenzangu tusiwe hivi....

Wanaume wenzangu tusiwe hivi....

Wanaume ndivyo walivyo tunajidai tumewazoea labda Mungu ataawaangazia siku moja. hata kama alimtukana haachi ng'oooooo kwani hiyo ndo asili yake. Ukichunguza utakuta ukoowake wote ni "Penda Ngono zembe", hawaridhiki mpaka waingie kaburini!!! Loh Mungu zibariki familia
 
Mada nzuri sana,ila naomba uwe unaelezea kitu moja kwa moja,ili kutokuchosha msomaji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ha haaa, yaani umenichekeshaaaaaaaaa....
haya endelea kunitafakari

FP uvumilivu unanishinda dada yangu, yaani nimekutafakari mpaka. Unapenda kula mishikaki weye? Nakuuliza kwani nataka kukupa ofa, dah kwa kweli uzalendo unanishinda sikujuwa hili kama litawezekana kwangu. FP, kwangu mimi mwanamke macho si tigo...ngoja nikuimbie kidogo labda utanihurumia:
"Bibiiiii, FP mamaaaaa, haloooo FP dadaaaaa, nakutafuta sikuoni mamaaaaa, katika darubini sikuoni yeyeeeee eheeeeee
Nyumbani gani ulikoooooo
Nijulishe, nipigie simu namba 0755XXXXXXX (namba mafichoni kuogopa nisiowapenda kunitafuta)
Haki ya Mungu, nakupenda FP, nachotaka njoo unishike mkono twende kwa wazee.....(Bima Lee, Imakulata a.k.a. FP)
 
Last edited by a moderator:

ha haaa, ngumi unaziweza?
teja yupo humu anarandaranda, bora uendelee kunitafakari kimyakimya tu mwenzio nisije nikapata ban bure.....
mlongo wangu snowhite umeona kazi huku kwa dadako?
jiandae kunitetea kwa teja, sawa?
 
FP shiiiiiiiii, usimtaje kwa sauti kubwa atakuja kunitafuta ikawa sooo. Mimi ni lover wala si fighter na kupigania mwanamke hayo ni masuala ya watu wasiojuwa kupenda. Mwanamke apiganiwi ila anapumbazwa na maloveeeee, mimi nakuanzia na mishikaki ya nguvu then we take it from there kidogo kidogo, au vipi?
 
ha haaa, kumbe unaogopa eeeh!
weka mbali na watoto, lol!
 
ha haaa, kumbe unaogopa eeeh!
weka mbali na watoto, lol!

Kuogopa lazima niogope na ndiyo maana nimekuambia usiongee kwa nguvu. Si unajuwa siku hizi hata ukizungumza na mke wa mtu unaganda stendi ya basi siku nzima kiushirikina. Sisemi mengi humu kwani jamaa ataona na kukupa pressure, cha kufanya ni PM ili tuzungumze kiundani zaidi. Ila kabla ya yote futa everything you wrote to me. Ukifanya hivyo, nitakununulia any kind of pipi uitakayo.
 
ha haaa, ngumi unaziweza?
teja yupo humu anarandaranda, bora uendelee kunitafakari kimyakimya tu mwenzio nisije nikapata ban bure.....
mlongo wangu snowhite umeona kazi huku kwa dadako?
jiandae kunitetea kwa teja, sawa?
pana chezeya bhange za kimahabat za kingoni!
watu mwemwelemwemele tu humu!
ahahhahahahahhahahhahah
cc mazombiiiiiie yoooooote ya mabinti wa kingoni wakiongozwa na platozoom
chini ya uangalizi wa Mr Rocky na akisaidiwa na zumbe mkuu na mwenzie Erickb52
watu peeeeeeeeplo!
kwa mbaaaali naona Mkereketwa huyu ana hamu na yeye!muache aje!
 
Nitakuchezesha mbina sasa hivi
 
Back
Top Bottom