HABARI ZA USIKU HUU WAUNGWANA..
Nimetoka kwenye mihangaiko yangu muda si mwingi, nasikia timbwili kwa jirani huku mtoto mdogo wa miaka
miwili analia mama, mama.. Mimi ni mwoga sana wa kingilia majambo ya watu hasa wapendanao manake
kibao kinaweza kukugeukia then ukapata aibu na fedheha.. Aaah! Nikasema ngoja niingie kwenye kiota changu
ya ngoswe nimwachie ngoswe.. Ugomvi ukaendelea mpaka njeeeee mambo hadharani, matusi ya nguoni, kila
mmoja anamtuhumu mwenzie m.a.l.a.y.a.... E'bwana eeh!!! Kumbe ugomvi umesababishwa na mwanaume..
Bibie alienda kwa bafu kukoga akawa amesahau soap.....akaacha ndoo ya maji kwa bafu kafata sabuni.. Hapo
ndipo aliposikia sauti ya mahaba ya sweetie wake ikiongea na kajumba kadogo akimlaki kwa maneno 'i miss u since
easter'...lol. Bibie uzalendo ukamshinda, safari ya kuoga ikaishia pale likaanzishwa tifu.. Kumbe yasemekana huyu
bwana mkubwa alikua na ka-small haus pasaka huku akiwa amedanganya kwa bi mkubwa wake kuwa atalala kazini..
MY TAKE
ALAMSIKI

- Kama tuna vijumba vyetu vidogo wajameni tuviache hukohuko tusivikaribishe vivuruge familia zetu
- Tuwaonee huruma hawa malaika [watoto] ambao wanapata maumivu kwa mahomvi yetu, tena tunawalisha dozi ya matusi isiyostahili.
- TUEPUKE KABISA NYUMBA NDOGO otherwise HALALISHA KAMA MFALME MSWATI ILI WAJUANE NA WASIONEANE WIVU
- etc
ALAMSIKI