Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Niwaambie Nini wakati wanaona Raha? Hukomoi mtu hata siku moja labda umbake. Mtu anajipaka mwenyewe mafuta unasema unamkomoa? Acha kujifariji, acheni kulialia...mmekuwa na umama sana siku hiziNdo hivo sasa waambie na wenzio
Walianz awanawake wamemaliza.Mi naona raha wacha walie sana
Wanawake walikuwa na jitihada za kujenga lkn wamekatishwa tamaa sana. Uvumilivu una kikomo. Na huko tunakoelekea watalia sana Hawa viumbe, wengine washaghairi kuoa hawajui kuwa ni wao wameharibu Jamii.Yaani tumefikia ile "ukimwaga mbona namwaga ugali na maji ya kunawa".
Sijui huko tuelekeako tutakuw ana vizazi vya aima gani[emoji134],
na bahati mbaya sioni juhudi za kujenga zaidi ni tunabomoa tu.
Bahati mbaya si kwamba anaghairi kuoa alafu awe single. Bali ana mpango wa kuendelea na uzinzi na kuwa na watoto bila ndoa.Wanawake walikuwa na jitihada za kujenga lkn wamekatishwa tamaa sana. Uvumilivu una kikomo. Na huko tunakoelekea watalia sana Hawa viumbe, wengine washaghairi kuoa hawajui kuwa ni wao wameharibu Jamii.
Uzuri wa mwanamke atalia hlf atajinyanyua na akiamka hapo akili zake anazijua mwenyewe. Wanawake wanafundishana kuwa strong kila siku na hii imetokana na wao kutendwa. Shauri lao mi hata siwaonei hurumaWalianz awanawake wamemaliza.
Hawakujua hata mjinga ana a point of no return.
Wakumbuke tu walipoharibu tuanze upya kuokoa vizazi vijavyo.
Mpungue, who caresHaya nyie endeleeni kuleta viburi tu ila kumbukeni nowdays wanaume wanapungua Kila kukicha
Hii kauli mmeanza kuitumia karne ya ngapi sasa? Tena msivyo na akili badala hiyo kauli muitumie kujitafakari mnaitumia kufanya upuuzi mkijiona miungu watu. Haya sasa ndio matokeo yake mnaona mlikoifikisha dunia?Haya nyie endeleeni kuleta viburi tu ila kumbukeni nowdays wanaume wanapungua Kila kukicha
Kazi ipo, na hao watoto watalelewa na single mother ambao wanapondwa kila siku....mtoto analelewa bila baba kwa shida shida hlf akue utegemee awe na maadili. Tunaharibu jamii sisi wenyeweBahati mbaya si kwamb aanagairi kuoa alafu awe single. Bali an ampango wa kuendelea na uzinzi na kuwa na watoto bila ndoa.
Sasa hebu fikiria hapo hao watoto watelelewa ktk mazingira gani na watakuwa na mentality ya aina gani then tutakuwa na jamii za aina gani[emoji134]
Yaani Kuna muda mtu unasema Sasa nikipata mwanamke natulia ,,lahaula ukishampata kitakachokutokea utasema ni Bora ungeendelea kuwatindua tuUzuri wa mwanamke atalia hlf atajinyanyua na akiamka hapo akili zake anazijua mwenyewe. Wanawake wanafundishana kuwa strong kila siku na hii imetokana na wao kutendwa. Shauri lao mi hata siwaonei huruma
Wanavyolia lia utafikiri wao ni wema na wametenda mema sana kwa wanawake, hawajui ndio wametufikisha hapa.Uzuri wa mwanamke atalia hlf atajinyanyua na akiamka hapo akili zake anazijua mwenyewe. Wanawake wanafundishana kuwa strong kila siku na hii imetokana na wao kutendwa. Shauri lao mi hata siwaonei huruma
Ili unielewe pita maeneo ya KINONDONI kidogo zen njoo tuendelee na madaHii kauli mmeanz akuitumia karne ya ngapi sasa? Tena msivyo na akili badala hiyo kauli muitumie kujitafakari mnaitumia kufanya upuuzi mkijiona miungu watu. Haya sasa ndio matokeo yake mnaona mlikoifikisha dunia?
Nikwambie tu Kaka yangu nyie ndio waharibifu. Yote haya mmeyapanda wenyewe Sasa hivi mvune bila malalamiko. Bila mwanaume kubadilika hii Jamii itateketea, nyie ndio vichwa lkn Sasa hivi mmekuaje sijui mnaelekea kuwa mikiaYaani Kuna muda mtu unasema Sasa nikipata mwanamke natulia ,,lahaula ukishampata kitakachokutokea utasema ni Bora ungeendelea kuwatindua tu
Walie. Binafsi simuonei huruma mwanaume akitendwa!Wanavyolia lia utafikiri wao ni wema na wametenda mema sana kwa wanawake, hawajui ndio wametufikisha hapa.
Ukiwasikiliza utafikiri wao hawana shida bali wanawake tu.
Are you for real?Ili unielewe pita maeneo ya KINONDONI kidogo zen njoo tuendelee na mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walie. Binafsi simuonei huruma mwanaume akitendwa!
Sasa happy solution ni nnNikwambie tu Kaka yangu nyie ndio waharibifu. Yote haya mmeyapanda wenyewe Sasa hivi mvune bila malalamiko. Bila mwanaume kubadilika hii Jamii itateketea, nyie ndio vichwa lkn Sasa hivi mmekuaje sijui mnaelekea kuwa mikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Kuna muda mtu unasema Sasa nikipata mwanamke natulia ,,lahaula ukishampata kitakachokutokea utasema ni Bora ungeendelea kuwatindua tu
Solution Ni mwanaume kubadilika, nyie ndio viongozi wetu, ukiharibu wewe baba lazima mama na watoto wayumbe pia. Na mwanamke akiharibika balaa lake si la kitotoSasa happy solution ni nn