Wanaume wenzangu tokeni nje ya box

Wanaume wenzangu tokeni nje ya box

Halafu ndo mnataka tuwaamini? Mi ndomaana nawafokonyoa tu zen unatupa huko unaangalia mwingne aliyenona
Ha haa huna haja ya kutuamini, nani kasema mtuamini? Mmeambiwa muishi na sisi kwa akili. Tatizo baadhi yenu hamna akili mwisho wa siku lazima ulalamike
 
Kwan unatakaga Kumridhisha Mwanamke????

Mi navyojua Mwanamke we mpende,muheshimu,mfanye muhimu kwako na mchekeshe/mfurahishe sanaaaaaaaa ila hilo la kumridhisha mwanamke sio jukumu letu.
 
Kwan unatakaga Kumridhisha Mwanamke????

Mi navyojua Mwanamke we mpende,muheshimu,mfanye muhimu kwako na mchekeshe/mfurahishe sanaaaaaaaa ila hilo la kumridhisha mwanamke sio jukumu letu.
Yah ni kweli kumridhisha mwanamke sio jukumu let nandomaana wanakutafutia mwanaume was kukusaidia kidogo coz anakuona wewe unalamba kitumbua tu na wakati yeye anataka ukitafune
 
Yah ni kweli kumridhisha mwanamke sio jukumu let nandomaana wanakutafutia mwanaume was kukusaidia kidogo coz anakuona wewe unalamba kitumbua tu na wakati yeye anataka ukitafune
Unadhani ukimridhisha ndo hatafuti? Umalaya asili mzee ...

Umalaya Ni tabia ukipata mwanamke malaya Ni malaya na ukipata mwanamke sio malaya sio malaya..

We Tia juhudi ufikie achievement za kuwa na mwanamke ambaye sio malaya basiiiiiii..

Makundi yao matatu tu malaya, Malaya kulingana na mazingira na sio malaya.We tafuta sio Malaya basiiiiiii weather unajua mapenzi au hujui hatakuwa na mda na wanaume wengine, bahati nzuri hao wapo ila wachache ila wapo..
 
bado hujawa MWANAUME.....mwanaume hawezi lilia mapenzi.....wavulana ndio zenu........
 
Back
Top Bottom