Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Akili hazitakaa sawa tutadata jamani 😀😀Mahusiano nw days yamekua magumu sana japo wenye misimamo na mapenzi ya dhati wapo....nanyi wanaume ni waongo sana basi na sisi ndo tunajifunza kupitia kwenu ...nanyie mmetupanga kama foleni ya madumume naona tuendelee tu kudanganyana mpka akili zitukae sawa....


.
.