Afu hawa wenzetu ni wazuri katika kulipa. Ukimpiga busu tu asubuhi kabla ya kuondoka! we utasahau ila yeye atafurahi siku nzima.na anaweza akakuandalia na surprise. Ila sisi huwa hatujui!Kweli tupu.
Nashukuru kwa ushauri wako ndg, nitazid kuongeza upendo kwa shemeji yako kuanzia sasa.
Itakuja siku yake, leo tuongelee haya mnayotufanyia, tusichanganye madaMbona umesema yale tunayofanya bila kusema yale tunayofanyiwa mkuu huu mchezo hauhitaji hasira
Itakuja siku yake, leo tuongelee haya mnayotufanyia, tusichanganye madaMbona umesema yale tunayofanya bila kusema yale tunayofanyiwa mkuu huu mchezo hauhitaji hasira
Wanawake wengi ni wavumilivu na ni wasiri mno.
Wapo wanaopigwa,wapo wanaonyimwa pesa ya matumizi,wapo wanaingiziwa vimada ndani ya nyumba,au kushuhudia mumewe na kimada.wapo wanaonyimwa unyumba.
Wapo wasioshea vitanda.wapo wanaoingiliwa kinyume na maumbile.
Yaani wake zetu wamekuwa ni watu wakulia tu ndani kwa ndani.wengi wanajuta kuolewa.
Na yote haya sisi wanaume ndio chanzo.
Lakini bado,wanatupikia,wanafulia,wanatunza nyumba.wanatembelea ndugu zetu. Hawasemi yanayowasibu ndani ya nyumba zao.
Hebu tufikiri upande wa pili.
Sisi pia tuna dada zetu tunaowapenda. Sisi pia tuna watoto wakike tunaopenda kuona wakiwa na furaha muda wote.
Hivi tutajisikiaje tukigundua dada zetu na mabinti zetu wanateswa na waume zao?
Wengi wanatembea wanacheka,wameshikana mikono barabarani!
Ila ukiambiwa wanawake wanavyofanyiwa na hao wanaume,huwezi amini!
Wanaume tuishi kwa akili na wake zetu.
Wanawake wana mengi yanayowashughulisha jamani!
Tuwapende tuwasaidie na tuwahurumie!
Nawasilisha!
Mwanamke Kukuzidi kipato sio kosa kwa mwanaume mwenye akili salama kama mimi na wewe sababu kila mtu ana riziki yake. ila ni shida kama hutaki akuzidi.Ngoja itokee mkeo anakuzidi kipato au ufulie kisha wanaume wakuchapie....utakuja tena humu humu kwa mwendo wa rivasi.
Mjini hapa.
Haaa mnapenda kutetewa sana nyieItakuja siku yake, leo tuongelee haya mnayotufanyia, tusichanganye mada
Chanzo cha kupigwa nje nini? Wanawake ni mtu pia.. Wengine wanavumilia wanaelemewa.mume kila siku kesho,kila siku bize! Anashiba kwa mabaamedi.Wanapigwa nje pia na wanarudi nyumbani macho makavu..