kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 322
- 902
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata tamaa


Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza



Naombeni wajuzi mje mnifundishe kutongoza
