Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Na hapo ndipo panapoleta shida haswaaaa! Ndio maana ndoa zenyewe siku hizi ni kama big g, miezi mitatu utasikia watu wameachana, wale wanaoendelea kusurvive basi imebaki tu ni kuwa wanavumiliana,full mtafaruku.
hatuji tambui ndomana tunaongozwa na hisia zaidi
 
SHULE INAHUSIKA NINI? TWENDE KWA FACT ANAWAZIDI MANGAPI NYIE MLIOSOMA? ANAISHI NYUMBA NZURI, ANA DRIVE GARI KALI, NI POPULAR, ANAVAA NGUO ZA 200,000 WANGAPI MMESOMAA NYIE NA WAKE ZENU HAMFIKIII HATA ROBO YAKE MKIWEKA COMBINED INCOME.

Hahahaaaaaaaaa! Wasomi saa zingine mnanisikitish sanaaaa, akili zinpowekwakwenye KARATASI.
Hata wee unaonekana shule yako mazengwe,unalinganisha elimu na pesa wapi na wapi au vile umeishia la saba c ,pole kwakudhania pesa na shule sawa
 
Swali la msingi kabisa ni kwa nini wanawake wenye kauli za kipuuzi huishia kuolewa na malofa wenzao kama Henry Kileo? au yeye hakupenda aitwe mrs Mengi badala ya kuhost tu wanawake live awe owner wa EATV?

Hivi huyo Joyce Kilia the former beki tatu standard seven graduate, cheap slot biachii, anaweza kusogeza kalio lake anapokaa K Llyn?

Ila siku zote watu waliokulia maisha ya kifukara hayo ndio aina ya mawazo yao, na kwakuwa ana kundi la wapuuzi wenzake wanaomfollow usije kushangaa yeye Joyce Kilia ndio anamuhonga pesa mume wake ila akija kwenye social network kama kawaida shetani anafanya kazi yake ya kuwahadaa wajinga wenzake wasiojuwa kudigest porojo.

Wanaume wanajitambuwa vyema kuliko wengi mnavyoweza kufikiri ila si watu wa kupost hisia za kimahusiano kwenye mitandao.

Wanaume tunafahamu vyema tukihitaji mapenzi ya pesa ni wapi yanapatikana na tunajuwa vyema tofauti ya familia na muuza kumah.
kichwa cha mwanamke always ni blank,anaweza kuona moto na anajua moto ila mwenzie anamkomalia hauchomi na yeye anajaribu kwel kama hauchomi,we tafuta zile kauli kuwa shetani alimpitia,sijui shetani alaimdanganya nyingi utakuta za wanawake!!Aliye sema wanawake mwalimu wao kipofu hakukosea
 
Swali la msingi kabisa ni kwa nini wanawake wenye kauli za kipuuzi huishia kuolewa na malofa wenzao kama Henry Kileo? au yeye hakupenda aitwe mrs Mengi badala ya kuhost tu wanawake live awe owner wa EATV?

Hivi huyo Joyce Kilia the former beki tatu standard seven graduate, cheap slot biachii, anaweza kusogeza kalio lake anapokaa K Llyn?

Ila siku zote watu waliokulia maisha ya kifukara hayo ndio aina ya mawazo yao, na kwakuwa ana kundi la wapuuzi wenzake wanaomfollow usije kushangaa yeye Joyce Kilia ndio anamuhonga pesa mume wake ila akija kwenye social network kama kawaida shetani anafanya kazi yake ya kuwahadaa wajinga wenzake wasiojuwa kudigest porojo.

Wanaume wanajitambuwa vyema kuliko wengi mnavyoweza kufikiri ila si watu wa kupost hisia za kimahusiano kwenye mitandao.

Wanaume tunafahamu vyema tukihitaji mapenzi ya pesa ni wapi yanapatikana na tunajuwa vyema tofauti ya familia na muuza kumah.
Mkuu Matola big up
 
Wanatulaumu kujazana upepo wakati wao ndio full kujazana upepo, ukute wakiteteana upumbavu sasa utachoka, ila sisi kuwaomba sana hela ili wazidishe hasira za kuzisaka yanawatoka hadi ya sirini(km naona mtu anavyokunja ndita)

Hawa wetu hawatushindi, tunakwenda nao hivyo hivyo hata kwa ugumu ila lazima kieleweke.
Anyway wahongaji wapo, responsible wapo na wajambiaji pia wapo, na wote tunawapenda tu teh. Ila kuna kitu kimenishangaza honestly. Wengi humu huwa wanatiana ujinga na kujipa moyo "ooh ukiwa na hela tu unagonga demu yeyote unayemtaka" (as if kuna soko linauza wanawake tumewekewa na price tag kabisa). Leo naona comments nyingi wanalia lia, sasa hizo hela wanazotafutaga kung'olea mademu ni huwa za kuhonga au za kuoneshea kwenye wallet na bank statement?
 
Swali la msingi kabisa ni kwa nini wanawake wenye kauli za kipuuzi huishia kuolewa na malofa wenzao kama Henry Kileo? au yeye hakupenda aitwe mrs Mengi badala ya kuhost tu wanawake live awe owner wa EATV?

Hivi huyo Joyce Kilia the former beki tatu standard seven graduate, cheap slot biachii, anaweza kusogeza kalio lake anapokaa K Llyn?

Ila siku zote watu waliokulia maisha ya kifukara hayo ndio aina ya mawazo yao, na kwakuwa ana kundi la wapuuzi wenzake wanaomfollow usije kushangaa yeye Joyce Kilia ndio anamuhonga pesa mume wake ila akija kwenye social network kama kawaida shetani anafanya kazi yake ya kuwahadaa wajinga wenzake wasiojuwa kudigest porojo.

Wanaume wanajitambuwa vyema kuliko wengi mnavyoweza kufikiri ila si watu wa kupost hisia za kimahusiano kwenye mitandao.

Wanaume tunafahamu vyema tukihitaji mapenzi ya pesa ni wapi yanapatikana na tunajuwa vyema tofauti ya familia na muuza kumah.
Mbona hata wewe umeongea kwa hisia na matusi juu Matola? Hivi hata humu nyuzi nyingi zinazoanzishwa za hisia ni za jinsia gani vile? Angalia comments humu pia mostly ni za jinsia gani?

Hebu jaribu kumsoma Joice alichoandika then look the bigger picture utakuta kuna kitu cha msingi sana amekiongelea, hizo porojo zingine ni kuchangamsha tu ili awatoe mapovu(na kafanikiwa ktk hilo)
 
Unadhani hela hawazisaki? Wanazisaka sana na wanazo sana tu ila kuzitoa kwa girlfriends ndo hawataki. Hivi kuna mwanaume anayekumbushwa kutafuta hela? Tumuombee
Mimi nilidhani hoja ya Joyce Kiria ni ya kifamilia kumbe mnajadili wazinifu?

By the way ni kwa nini majukumu ya mzazi wako ukamtwishe mtoto wa mwanamke mwenzako?

Na nyinyi punguzeni njaa urafiki siku mbili tu Facebook mnaanza kuwapiga mizinga wavulana wa watu na mnajuwa wazi pesa zao ni za field.
 
Bill Gates wenyewe aliacha shule aliona Shule ungese tu. Mike wa facebook nae aliona shule umaku u akaachilia mbali, huyo wa whats up nae hivo hivo aliona ni kuchoshana tu. WAKINGA WANGAPI HAWAJUI HATA KUANDIKA MAJINA YAO WANA MILIKI GHOROFA HATA 10.

WASOMI WASIPOBADILIKA HAPA BONGO WATAKUFA MASIKINI KILA LEO. Kabisaa UNAJINADI NA CHETI AMBACHO NI KARATASI TU HATA KUKOPEA LAKI UPEWI.
Narudia wee najua hujavuka la 12,au umeishia la 7 ndio maana unalinganisha fedha na elimu,nawaonea huruma kizazi chako kama unacho maana kitakua std 7 kwa ujinga wako wakulinganisha pesa na elimu,aibuuu unafikiri pesa ingekua sawa na elimu kina bakharessa na mengi wangewapeleka shule watoto zaoooo....Kwel mbuz mbuz yu
 
Mimi nilidhani hoja ya Joyce Kiria ni ya kifamilia kumbe mnajadili wazinifu?

By the way ni kwa nini majukumu ya mzazi wako ukamtwishe mtoto wa mwanamke mwenzako?

Na nyinyi punguzeni njaa urafiki siku mbili tu Facebook mnaanza kuwapiga mizinga wavulana wa watu na mnajuwa wazi pesa zao ni za field.
Em nisome between the lines. Sina njaa na wala siendekezi njaa. Nimemjibu kuwa wanaume wanatafuta hela ila sio za kuhonga.
Joyce kamjibu mtu aliyesema wanawake hawaolewi kisa kuomba hela, so obviously anaongelea mahusiano before ndoa.
 
Kama we mwanamke, na unatumia energy kubwa kudai unachodhani ni haki yako, then pengine hustahili kabisa. Coz trust me, we'll do anything for you, anything, only if you're worth it.

A vagina + brain = you running the world. A vagina + no brain = a foul and bitter mouth.
 
Anyway wahongaji wapo, responsible wapo na wajambiaji pia wapo, na wote tunawapenda tu teh. Ila kuna kitu kimenishangaza honestly. Wengi humu huwa wanatiana ujinga na kujipa moyo "ooh ukiwa na hela tu unagonga demu yeyote unayemtaka" (as if kuna soko linauza wanawake tumewekewa na price tag kabisa). Leo naona comments nyingi wanalia lia, sasa hizo hela wanazotafutaga kung'olea mademu ni huwa za kuhonga au za kuoneshea kwenye wallet na bank statement?
Tena ukitaka uchoke zaidi wengine utasikia 'acha tuwagonge tu maana hamna namna' hivi huyu sasa anatofauti gani na anacholalamikia? Oooh ndio maana mnagongwa na kupewa magonjwa, hayo magonjwa yanawaua wanawake peke yao maana wanajigonga wenyewe.

We wanaume wa humu ukishawajua unaishia kusoma na kucheka tu, too much hatred toward women, sijui tuliwafanya nini aisee, tena wengine wameoa kabisa, sasa sijui ni stress za wake zao au familia,ila mwisho wa siku ni burudani pia.
 
We si umesema hututegemei..? haya endeleza viwanda ili isiwe ndoto ya alinacha... NYIE SI MPO?
Thubutuuu kwategemea lazima wala sio hiari, yaani bila hivyo itakuwa ni dhambi.
Teh teh teeeeeh! Viwanda hoyeeeeeeee!! Itikia basi.
 
Mimi nilidhani hoja ya Joyce Kiria ni ya kifamilia kumbe mnajadili wazinifu?

By the way ni kwa nini majukumu ya mzazi wako ukamtwishe mtoto wa mwanamke mwenzako?

Na nyinyi punguzeni njaa urafiki siku mbili tu Facebook mnaanza kuwapiga mizinga wavulana wa watu na mnajuwa wazi pesa zao ni za field.
Salute Matola
 
Back
Top Bottom