Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Kuna manz alijidai kunywa dawa ya

Magonjwa ya zinaa ya kienyej.... Lakn dawa ile ilikuwa Ina kiwembe , sindano pamoja na nywere ambazo mm nahisi ilikuwa ni vuzi.....two days before yule manzi alijigamba kuwa kapata buzi ambalo wananyoana Hadi vuzi ......

Ilikuwa ni msala boss..
Duh!
Wanawake watu wabaya sana
 
Itabidi wanawake wawe wanatusamehe tu...tunapitia mengi wanaume ....huyu anakanyaga mafuta, huyu limbwata , kule bar Nako waroge , Mara huyu ampigie magoti muumba...yaan mwanaume unabakiwa na akili ya kuzaliwa na notsi za physics tu, nyingine zote umeshkiwa kwa namna yyte ile
hatari sana mambo ya Dunia
 
Hivi ulishawai kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata?

hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini

nilikua safarini nikapita maeneo flani usiku nikatafuta huduma ya dada poa nikampata kwenda chumbani kulala jamani mashine iligoma katakata kabisa alijitahidi kuishughulisha lakini ilishindikana kabisa

nikajaribu kuigusishapo kidogo ili iamke ndo ikasinyaa kabisa kabisa nikamwambia basi ngoja nisepe sku nyngne kwakweli nilitoka kwa aibu sana sijui alinifikiriaje

ila dem nae alikua na kitambi sio poa
Hiyo kawaida sanaaa hasa unapokuwa na hofu flan mfano ww ni kama mm mambo ya kununua malaya aiseee nayaogopa sanaaa siku moja nlikuwa Dodoma kwenye mkutano sasa sababu tuko wengi usiku niko na washikaji bar wakasema aisee hawa wahudumu tuwachukue tukawapige nkakubali shingo upande tukapatana bei wangu alitaka elf 30 usiku kucha nkasema poa kwenda room mashine haikusimama kabisaaa ikabd nimtimue demu.
 
kweli nahisi ni hofu maana ilikua ndio mara yangu ya kwanza sijawai kabisa kununua changudoa, siku hyo ndo nimemnunua ngoma ikagoma jaribu kuichezea wapi, mpk nikamwambia basi ngj mi nisepe
 
Ni kawaida hutokea.Wengine hata ktk kuvaa kondomu kama alizoea mnofu,siku akitakiwa kivaa kuvaa inasinyaa na kugoma.Ila akiruhusiwa kula bila ndomu inasimama balaa.

Nadhani ni issue ya kisaikolojia.
 
Hivi ulishawai kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata?

hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini

nilikua safarini nikapita maeneo flani usiku nikatafuta huduma ya dada poa nikampata kwenda chumbani kulala jamani mashine iligoma katakata kabisa alijitahidi kuishughulisha lakini ilishindikana kabisa

nikajaribu kuigusishapo kidogo ili iamke ndo ikasinyaa kabisa kabisa nikamwambia basi ngoja nisepe sku nyngne kwakweli nilitoka kwa aibu sana sijui alinifikiriaje

ila dem nae alikua na kitambi sio poa
Dada poa?Okay-dokey!
 
Ulishajitengenezea hofu kutokana na muonekano wa mtoa huduma
 
Ni miongoni mwa sabab...pia tumewahi kuwa na mgahawa kwenye club flan pale makambako , wale barmaid walikuwa wanalala kwenye chumba chetu sisi Cha watu wa mgahawan kwasabab sisi tunapga Kaz 24/7 huku tukipeana shift za kulala masaa 4 tu kwa siku wao walikuwa wakilala mchana usiku wanakesha club...chumba Chao kilikuwa kidogo kulingana na idad yao so wakawa wanakuja kulala kwetu...nimewashuhudia wakiwanga mkuu...wanaume walevi wanalishwa vingi sana na Hawa watu asikuambie mtu bro ..so sometimes mood , sometimes madawa , sometimes hofu.....

Bro Bora mtu akawa mlevi pombe tu , au madem tu af akawa hanyw kabsa Kama Mimi , Ila ukiwa mlevi wa pombe na madem unaumia msije mkamess na mabaamed I swear , nmeishi nao Zaid ya miez 6 ..aisee ni balaa , Kama Kuna mtu anaswali kuhusu Hawa watu aniambie , nitamjibu kutokana na nilivowaona

Kumbeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom