Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Wanaume wenzangu naombaeni niwaulize

Mim haijawah nitokea,ila kuna jamaa yangu aliwah niambia hii inshu ilimtokea,

Mim nimegonga mpaka vibibi lakin haijawah tokea kugoma,huwa navuta hisia mpaka ngoma inakubal napga hata goli nne kwa kibibi
Siyo sifa
 
Inatokana na uoga wa kugonga demu anayejiuza. Hiyo inatokana na kwamba hizo sio mambo zako. Ishawahi nitokea one time nilipojaribu kununua malaya bar. From that day ndio nikajua sio kila kitu ni cha kila mtu. Sijawahi gonga malaya au lala demu anayejipanga road.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu umekazia point ya msingi saana big up
 
endelea kutukana....ila kama imekutokea hiyo ndio dalili kuu......jiandae kupumuliwa, kijeba wewe....
Hio ndo michezo yako ndo mana umekua mwepesi kuitamka.....

Jukwaa limevamiwa na teenagers ambao wanamichezo michafu aisey!
 
Unaenda kuchukua dada poa afu unachukua yenye kitambi?Ni sawa na kwenda sokoni afu ukanunua nyanya mbovu
 
Hivi ulishawai kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata? hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini nilikua safarini nikapita maeneo flani usiku nikatafuta huduma ya dada poa nikampata kwenda chumbani kulala jamani mashine iligoma katakata kabisa alijitahidi kuishughulisha lakini ilishindikana kabisa nikajaribu kuigusishapo kidogo ili iamke ndo ikasinyaa kabisa kabisa nikamwambia basi ngoja nisepe sku nyngne kwakweli nilitoka kwa aibu sana sijui alinifikiriaje ila dem nae alikua na kitambi sio poa
 
Mambo ya jogoo kugoma bora yakukute mbali na watu (watu wasijue), raia wa kitaa hawana dogo, wakijua tu kwamba jogoo kagoma kwa siku moja tena kwa bahati mbaya, watakutangaza utafikiri hilo ni tatizo lako la kudumu.

Mnaokaa nyumba za kupanga vyumba vya kubanana, kama huna mood ya sex usilazimishe. Miaka fulani wakati nimepanga uswazi, mida ya saa 5 usiku kumetulia kila mpangaji kazima radio anatafuta usingizi, chumba cha jirani yupo kwenye harakati na mkewe halafu mambo yanagoma, wanawake wa uswazi kama kawaida yao hawawezagi kuongea polepole, jamaa mambo baada ya kumgomea mwanamke akaongea kwa sauti "mh!, hiyo mboo mbona haidindi?!, nimejitahidi lakini haidindi"

Nikajua nimewasikia peke yangu, wapangaji baada ya kuamka asubuhi nyimbo za mafumbo kwenye masabufa zikaanza kumfumbia mshkaji, mara "mtalimbo umelala doro", wengine "unataka mifupa una meno?" , "nimeliona joka libwelile" n.k
 
Ni miongoni mwa sabab...pia tumewahi kuwa na mgahawa kwenye club flan pale makambako , wale barmaid walikuwa wanalala kwenye chumba chetu sisi Cha watu wa mgahawan kwasabab sisi tunapga Kaz 24/7 huku tukipeana shift za kulala masaa 4 tu kwa siku wao walikuwa wakilala mchana usiku wanakesha club...chumba Chao kilikuwa kidogo kulingana na idad yao so wakawa wanakuja kulala kwetu...nimewashuhudia wakiwanga mkuu...wanaume walevi wanalishwa vingi sana na Hawa watu asikuambie mtu bro ..so sometimes mood , sometimes madawa , sometimes hofu.....

Bro Bora mtu akawa mlevi pombe tu , au madem tu af akawa hanyw kabsa Kama Mimi , Ila ukiwa mlevi wa pombe na madem unaumia msije mkamess na mabaamed I swear , nmeishi nao Zaid ya miez 6 ..aisee ni balaa , Kama Kuna mtu anaswali kuhusu Hawa watu aniambie , nitamjibu kutokana na nilivowaona
Walikua wanawarogaje mkuu?
 
Hivi ulishawai kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata?


hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini

nilikua safarini nikapita maeneo flani usiku nikatafuta huduma ya dada poa nikampata kwenda chumbani kulala jamani mashine iligoma katakata kabisa alijitahidi kuishughulisha lakini ilishindikana kabisa

nikajaribu kuigusishapo kidogo ili iamke ndo ikasinyaa kabisa kabisa nikamwambia basi ngoja nisepe sku nyngne kwakweli nilitoka kwa aibu sana sijui alinifikiriaje

ila dem nae alikua na kitambi sio poa
Wewe wakati unamchukua huyo mwanamke ulimkagua muonekano wake kama unakufurahisha?! Maana inaonyesha haukumuelewa hata kidogo unafosi tu.....
 
Kuna manz alijidai kunywa dawa ya
Walikua wanawarogaje mkuu?
Magonjwa ya zinaa ya kienyej.... Lakn dawa ile ilikuwa Ina kiwembe , sindano pamoja na nywere ambazo mm nahisi ilikuwa ni vuzi.....two days before yule manzi alijigamba kuwa kapata buzi ambalo wananyoana Hadi vuzi ......

Ilikuwa ni msala boss..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom