Wanaume wenzangu msitume nauli

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwann usiende kumpokea mkuu?
 
Nenda tu buanaa mwanaume hasusi
 
Aisee nimecheka na kukumbuka mbali sana enzi hizo tupo chuo.
Baada ya UE semester ya mwisho sisi tulibaki hostel one of room mate alifanya kosa kama hilo katuma nauli ZNZ aisee alisubiri boti iingie kwa week nzima mpka ikabidi asafiri na ela ikaliwa na mzenji
 
Hahahaaaa
 
nlituma 57500 mtoto atoke arusha aje dar ila kifika asubuh napiga simu haipatikani.. baada ya kama mwezi hvi demu akantafuta eti excuse yake ni kwamba baba na mama ake walipigana akashindwa kutoka.. mzee nlijaa povu nkifikiria ile 57 ningeruka kuanzia friday to saturday.. mademu wanaishi kwa ujanja ujanja saaaana
 
Hahahahahaha duu aisee mkuu iyo juzi juzi tu imemtokea rafiki angu demu kamtumia nauri aje airport toka buza jamaa katuma nauri demu hajatokea jamaa leo siku ya saba analalamika
 
Mkuu siku nyingine nenda tu pale shekilango kalipie ticket darexpress au klm express
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…