Wadau msaada
Mke wangu kapewa mimba na Boss wangu nifanyeje?Mimi bado nampenda jamani.
Just kidding
Wadau msaada
Mke wangu kapewa mimba na Boss wangu nifanyeje?Mimi bado nampenda jamani.
Just kidding
Hawa Vijana wa siku hizi wanakula Chips mayai na mayonaizi huku wanavaa vijinsi vya kubana makalio. Tusitegemee ushujaa hapa.Sisi Wanaume Tunapaswa Kua Vichwa Vya Familia Zetu ... Tunapaswa Kuwaongoza wake zetu ...
Wanaume wa humu wanaomba ushauri wamekua soft sana wanaomba ushauri mambo ambayo walitakiwa wawe wanauwezo wa kuyatatua kabisa ...
Sijui wanaume wa siku hizi tunalelewa vipi ??
Tambueni sio kila mwanamke anafundishwa adabu kwao .. Na sio kila anaefundishwa adabu anaweza kuendelea kukuheshimu hata kama usipo kua strong kuisimamia familia ..
Tatizo la nguvu la kiume linaongeza, na pia kulia lia kwenye mitandao ya kijamii pia kunaongezea .. Tunaelekea wapi Jamani...
Step Up Then muongoze mkeo kua LEADER .. Pata Heshima Yako Kwa mkeo kwakua una deserve it sio kwakua wewe ndio umeoa, vimitihani vidogo vidogo mnavyohangaika navyo humu kuomba ushauri unatakiwa uviweze kutatua.
Wanawake hua wana mambo mengi mno vichwani mwao na ni wasumbufu sometimes kama usipo kua strong wewe mtoto wa kiume utaharibu familia yako ...
Punguzeni Kulia lia Jamani..
Hehehehe wewe kijana wa zamani mbona ndio bingwa wa kutongoza na kuambulia vibuti humu kwa hao vijana wa sikuhizi...Uwezo wa kufikir haupo tena kwa vijana bongo zmelala kila kitu wanataka wasaidiwe kufikir na kufanya maamuzi
Nyie vijana wa zamani mmechokaa vipisi hivyo havisimami na vikisimama ni nusu safari chaliiKamuulize mwenzako mmoja anaitwa Mtawali kijana wa mjini alifanywa nini na kijana wa zamani kwa hizo tabia zenu za kupenda umarioooo. Nyamafu weee.
angalia wasije kukujaribuNyie vijana wa zamani mmechokaa vipisi hivyo havisimami na vikisimama ni nusu safari chalii
Kwani wewe wamekujaribu mkuu??angalia wasije kukujaribu
mimi bado aiseeKwani wewe wamekujaribu mkuu??