Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

Mapenzi ni mchezo wa kuviziana. Ni kama drafti. Umeshaliwa kete zote, kwanini mwenzio asicheze na mwingine?

Mkuu kama unataka kuoa usimjaribu mtu.
Hili kwangu ni muhimu sana, kuna kesho ambayo sijui nitakuwaje sio tu financially lakini pia physically, kama anaweza kunibadilikia kwa ku-pretend kutokuwa na kazi, nikumwa si atanitelekeza nijifie ndani huyu????
 
MKUU UNAKAA HOME MWAKA MZIMA KISA MDADA? RUDI KAZINI BANA UKAPAMBANE.....

Katika maisha kama vile ambavyo wewe unavigezo vya kuchagua mke na mchu.ba wako pia anavigezo vya kuchagua mume

Wewe ukiwa unapenda mwanamke mvumilivu kwa shida na raha na yeye anapenda mwanaume ambaye sio jobless....

Ni kama tu vile baadhi ya wanaume wanapenda kuoa walimu na wengine wanapenda kuoa mke akae home

Hata mwanamke wako ana selection na hiyo haimfanyi kuwa mke bora au mke mbaya.
Dear friend huo ni mwezi mmoja tu, wala so mwaka!
Sasa mwezi mmoja tu wa kukosa kazi ananipandishia vioo, itakuwaje nikikosa kazi na afya ikayumba kwa wakti huo huo, si ataniwekea sumu kabisa?
 
What if kama na yeye aliomba apate mtu ambaye sio tegemezi kwake?
Binafsi hii michezo ya seek and hide kwenye mahusiano siitaki kabisaa.
Life itself is full of trials and temptations! Kujaribiana sio kuzuri.
Watu washavurugwa vya kutosha
No matter what, ukiwa garasa in garasa tu, sio nikiwa na hela unakenua meno mpaka pengo la mwisho huko, nikikosa unavuta domo na story hauna, kwani unakuja kutumia pesa zangu tu au unakuja tufanye maisha?
 
Mimi kuna shetani mmoja alikuwa ananiambia et mwanaume hakosi kazi! Yeye anachowaza ni pesa zangu bila kujua nimepata wapi mazingira gani..ya i hata kama ulivokuwa ofisini unalamba posho nzuri ghafla haupo et next week uingie kuzibua hata mitaro na vyeti vyako kweli au awe na subira upate ishu nyingne
Na ukienda kuzibua vyoo usifikiri atakusifia, lazima atakukimbia tu!
 
Kuna Makosa Makubwa ya Mahusiano. Nayaona Hapa. Ukimtafuta Mwanamke asipokujibu, Usimtafute Tena mpka Siku 3, zipite.

Alafu Baada ya Hizo Siku 3 Asipokucheki. Mcheki alafu usimuulize kwann hajajibu. Muulize Kuhusu Ishu Nyingine.

Kwa Maoni Yangu, Msamehe lakini Usimwamini. Alafu Ntakupa Mbinu Nyingine Ya Kumpima.
Shusha mbinu hapa aisee, itatumika kwa mwingine, huyu ameahakuwa X
 
Mapenzi ni mchezo wa kuviziana. Ni kama drafti. Umeshaliwa kete zote, kwanini mwenzio asicheze na mwingine?

Mkuu kama unataka kuoa usimjaribu mtu.
huo ni ujinga unaosema eti usimjaribu

mm namuunga mkono kwa hatua aliyoifanya
ulitegemea amchunguze vipi mtarajiwa wake
usimuone mjinga mpk kuchukua hatua hiyo
basi fahamu kuna viashilia aliviona ndio akaamua kutaka uthibitisho kwa kujaribu huo mtihani

NDOA ni taasisi imara kabla hujaiingia lazima ujiridhishe unaetaka kuingia nae NDOANI

Ukiona NDOA zipo IMARA usidhani zimekuwa tu
VETTING ya hali ya juu imefanyika mpk kila mmoja akaridhia

ukiingia NDOA kwa pupa utaichukia NDOA maishani kwako yote
 
huo ujinga unaosema eti usimjaribu
mm namuunga mkono kwa hatua aloyoifanya
ulitegemea amchunguze vipi mtarajiwa wake
usimuone mjinga mpk kuchukua hatua hiyo
basi fahamu kuna viashilia aliviona ndio akaamua kutaka uthibitisho kqa kujaribu huo mtihani
NDOA taasisi imara kabla hujaiingia lazima ujiridhishe unaetaka kuingia nae NDOANI

Ukiona NDOA zipo IMARA usidhani zimekuwa tu
VETTING ya hali ya juu ikafanyika mpk kila mmoja akaridhia

ukiingia NDOA kwa pupa utaichukia NDOA maishani kwako yote
Very true!
 
Kuna tofauti kubwa sana ya wanawake wa nyakati hizi, mfano nyumbani kwetu kule zamani baba alikua anaweza kwenda mahali popote pale kutafuta maisha kwa miaka hata kumi bila kurudi nyumbani na wala kutuma mahitaji nyumbani, lakini kwa busara na uvumilivu walio kua nayo wakina mama wake mpaka leo wapo kwenye ndoa na sherehe ya miaka 50 ya ndoa walisha fanya.

Njoo kwa wakina dada zetu wa leo!

Labda pana makosa kutoka kwenye malezi.
 
Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi!
Umefanya jambo la maana "nakusapoti" ulikua unaenda fuga bomu huko mbeleni mwanamke lazima ajiandae kwa shida na raha vipi huko mbeleni?..umemwambia muachane simply anajibu "sawa ila jua.........."...huyo achukulii uzito mapenzi wala haonyeshi swala la kujutia
 
Umefanya jambo la maana "nakusapoti" ulikua unaenda fuga bomu huko mbeleni mwanamke lazima ajiandae kwa shida na raha vipi huko mbeleni?..umemwambia muachane simply anajibu "sawa ila jua.........."...huyo achukulii uzito mapenzi wala haonyeshi swala la kujutia
Wakati ilikuwa hata akiugua mafua tu, alikuwa ananiomba nimsindikize hospital, ila amejua sina kazi anajiendea kimya kimya!
 
Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi!

Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa ni mke wa kuishi naye kwenye shida na raha au anakuja kushiriki tu kwenye matumizi ya pesa zangu? (Nikaamua kuingia kwenye uchunguzi) kwa mbinu za kivita!

Kwanza kabisa nikaomba ruhusa kazini, (likizo ya mwaka) nikamwambia mchumba wangu kuwa kuna tatizo ghafla kazini, hivyo nimesimamishwa! (akashtuka sana na facial expression ikabadilika), wiki iliyofuata nikaona majibu yake nikimuandikia text yamekuwa mkato mkato tu, ule uchangamfu wake ukatoweka! (Hapo tumesha tambulishana pande zote mbili)

Nikawa namchora tu, anavyobadilika rangi kama kinyonga, (hapo yeye anakwenda kazini kama kawaida na pesa anapata), nikamwambia nina uhitaji mkubwa wa pesa kama laki tano na hamsini, nitakurudishia, akanijibu "kazi yenyewe huna utapata wapi pesa ya kunirudishia, SINA CHA KUKUSAIDIA" nikamsihi sana kwamba kwa point niliyopo ntadhalilika asiponisaidia akaniambia "HAUTAKUWA WA KWANZA KUDHALILIKA"

Nikafunika kombe mwanaharamu apite, nikamkaushia akakausha, kila nikimpigia anaonekana hana interest kabisa ya kuongea na mimi, juzi nikamuomba aje home, akasema angekuja jana,(wakati huko siku za nyuma alikuwa ananipigia anaomba ufunguo akafanye usafi, kama kuosha vyombo, kufua n.k) mpaka nikasa huyu sasa ndo mke, kumbeeeeee!

Jana tangu asubuhi nampigia simu hapokei, nimeandika text kama 8 hivi haikujibiwa hata moja, nikamuandikia "kulikoni mpnz wangu" akani-blue tick bila kusema chochote!

Leo asubuhi nikamtafuta tena, hajajibu chochote, ilivyofika majira ya saa kumi hivi nikapata majibu, huyu naye ni garasa tu, ana-act kuwa mtu kwa sababu ya pesa, ila hana mapenzi kabisa na mimi, nikamuandikia kuwa asinitafute tena, na haya yakawa ndiyo majibu yake...

Hakika wanawake wapo wengi sana ila kupata mke bado ni kibarua kizito mno, ngoja niendelee kuishi ishi kwanza, zoezi la kuendelea na habari za kulipa mahari linasimamishwa kwa na mchakato wa kuanza kutafuta mwingine unaanza Mara moja!View attachment 2315531
Hatari kweli kweli
 
Back
Top Bottom