Wanaume wenzangu hii ikoje

Uyo amekuona huna kitu coz kaomba 150K umempiga kalenda akaona daah asije akaning'inizwa bure [emoji1787][emoji1787]
Sio hivyo bibie, nilimuahudi tarehe 30, maajabu yeye kafanya Safari tarehe 29 bila maelezo hela kapata wapi
 
daah demu kanjunjwa huyo.

mkuu mwamba katoka wilaya ingine kaja kmgonga demu wako wilayani kwako.

ZARAU HIZO UJUE

KATAAA NDOAA
Bro dharau zimevuka mipaka.. sana☹️ lakini fresh ndo maisha.
 
Bro umenielewa vibaya huyo bibie.. nilitana nae safarini December lakini nilimla mara moja.

Once that mahusiano ya mara kwa mara yalianza mbaka hapa Mambo yalipofikia

We ndo fala kabisa, umekutana naye December ukamla mara moja, anakuwa wako?

Hivi vijana wa siku hizi mbona wa hovyo sana, ndo maana matukio hayaishi...
 
acha upotoshaji hapo mwishoni Mzab tafadhali sana,

btw, kuna mtu aliniambia mwanangu wa kiume nije kumuita Mzabzab..!!πŸ˜‚

Pa' Mac Alpho


Mwanangu huwezi kumuita Mzabzab, asijekuwa addict wa kikwapa kama mzabzab πŸ˜‚.

Huyo wa kumuita hivyo sijui utamtoa wapi.!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah! Boss siunajua mapenzi sio ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huwezi kusema huwezi kuvunja mapenzi na fulani kabla ya kupata mpenzi mpya. Hii hufanya mzunguko au vicious cycle ya mavunjiko ya mahusiano kwakijana husika kwakila atayoyaanzisha. Mapenzi sio interview na sio mambo ya legal documents. Unapoanzisha mahusiano, huwezi kusema ngoja nikabomoe huku ili niweze kujenga na wewe, hata huyo atakayekubali kufanywa mpenzi mpya naajitafakari sana. Ukishavunja mahusiano, unatakiwa kutulia na kushusha uchungu na mizigo yote uliyotokanayo huko ili usije ukamletea mwenzako machungu na mizigo yatokanayo na mahusiano uliyoyavunja. Laasivyo, huyo mpenzi mpya atakuwa wakumpa lawama kila siku na kumhukumu kwa mahusiano yako uliyoyatoka kuyavunja ghafla tu bila kujitafakari ulipoteleza. Huwezi kutengeneza mahusiano na mtu huku mahusiano ya zamani yakiwa hayajaisha, laasivyo utakuwa unatest tu sawa na malaya, pakiharibika basi ndio imeisha hiyo. Ndio maana ndoa huvunjika mapema sana na familia kuvurugika sana kipindi hiki. Mahusiano sio ajira na wala sio biashara. Hujamaliza machungu au mahusiano yako, usitengeneze mapya maana hayatakusaidia kitu badala yake utakuwa umemtengeneza mtu mpya mwenye tabia ya kufanya kama hayo. Mwishowe, jamii na kizazi huvurugika. A relationship is neither a job nor a transaction.
 
Sijaona mahala kasema alitoa hyo pesa. Kinachomuuma anahis kagongewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulishamla na kumwagia tule tumaji twa kibaiolojia wa nini tena au unataka kuoa hicho kicheche?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
I find no wisdom in your writing, calling someone b**ch that tells a lot about you

Anyway it was my proposition it can be taken or discarded.
There is something more far dark in our brother story
Only extraordinary mind can question
Kisa ni binti kushindwa kwenda kufanya uzinzi nae ndo kosa kubwa right?? That's what the story is all about sasa sijui kama wewe ujaliona hilo
If it's right now tell me if you don't doubt it?
 
Ameuchuna sababu amejua lengo lako ulitaka mpige threesome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…