Wee achaga uongo. Nini miezi miwili watu tunakaa mpaka mwaka. Acha hizo we mzee.Mueleze huyo. Ata huko ulaya long distance shida sii tunaonaga kwenye ile programme ya cheaters.
Mzeya umempa ukweli hamna mwanamke anaweza kwenda miezi miwili bila kugegedwa hayupo na kama yupo basi ni mbaya wa sura na hana chura
Na mie kanishangaza kweli, watu tunakaa muda mrefu tena kwa kutulia kabisa bila tatizo..!!Wee achaga uongo. Nini miezi miwili watu tunakaa mpaka mwaka. Acha hizo we mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi maneno makali sana haya kwa kijana wetu..!!We umekutana na mtu si ku Moja tu, akakuhurumia mkayajenga unataka kuweka kiota? Kwani ulikua kwamba hana mtu wake kabla hamjakutana? Unasema ulishaanza kuweka malengo nae? Yaani kukutana na mtu Kwa Bahati mbaya unamuwekea malengo? Wewe kwenye hii tasnia ya mahusiano Kaa pembeni fanya mambo mengine.
Nakutania bwana besty...mie najua andunje atakuwowa tuu....mie akuja kuvizia bridesmaid niserebuke nae
Mnamatatjzo ya kiafya...sio wazima kabisaaa....nyege zikikaa sana ugeuka kuwa sumu...google itNa mie kanishangaza kweli, watu tunakaa muda mrefu tena kwa kutulia kabisa bila tatizo..!!
Mtumishi maneno makali sana haya kwa kijana wetu..!!
Mwaka hujatombwa😲😲😲 aise besty wee sio mzima bwana. Andunje anafeli pakubwaWee achaga uongo. Nini miezi miwili watu tunakaa mpaka mwaka. Acha hizo we mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepotosha vipi sasa. Kwa hiyo wee miezi miwili bila de liboloz unaona poa?acha upotoshaji hapo mwishoni Mzab tafadhali sana,
btw, kuna mtu aliniambia mwanangu wa kiume nije kumuita Mzabzab..!!😂
Pa' Mac Alpho
sasa wewe ungemwambia uko safariHabarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Braza umeliwa [emoji119][emoji119][emoji119]Habarini!

tatizo lipo, Ukiwa na afya nzuri huwezi kujisifia ujinga eti unakaa mda mrefu bila kutafunwa.Na mie kanishangaza kweli, watu tunakaa muda mrefu tena kwa kutulia kabisa bila tatizo..!!
Acha uchoyo tupe hio ya pili [emoji1787][emoji1787]Mwite aje.
Ukiigusa tu mwambie...mbona umeliwa hivi karibuni?
Ukiwa siriaz balaa then mkazie usoni utaona anavyonyong'onyea.
Uso siku zote huongea ukweli.
Mbinu ya pili hii ni hatari acha nibaki nayo[emoji23].
Tatu ungekuwa wa kike ningekupa mbinu ya kugundua kama umesalitiwa kweli[emoji23]
Uyo amekuona huna kitu ameomba 150"Nilitaka kutuma bro tarehe 30, yeye akasafiri 29 bila hata maelezo hela kapata wapi napewa tu info. Kwamba nakuja uko nikajua Leo nacheka na papuchi. Suddenly nimelala apeche
Kweli kabisaSikiliza wewe dogo.
Kubaliana na ukweli kuwa kabla yako kulikuwa na miamba inamkojoza.
Baada ya kukutana na wewe usifikiri wataachana overnight au papo hapo.
Wanawake wana tabia ya kupima mizania kwa muda mrefu...yuko nawe na miamba mingine pembeni huku akipima ni mwamba yupi yupo tayari kumbeba jumla.
Hakuna mwanamke yuko aido bila mtu akisubiri ndoa...wanaliwa kimya kinya.
Usipokubaliana na huu ukweli utakula sumu.
Pili mimi siyaamini mapenzi ya mbali Tanzania hii...kiidoogo mzungu ntamwamini lkn sio Mtanzania...hana msimamo wa kuusubiri ub.oo wako kamwe.
Kama wapo ni 0.001%..
Uzoefu ninao na hawa wadudu
Nikupe ua 4.Acha uchoyo tupe hio ya pili [emoji1787][emoji1787]