Wanaume wenzangu hii ikoje

Kuna watu hawapendi rafiki zao wawafahamu wapenzi wao.
Nakusihi mruhusu aje muyaongee
 
Imani yangu ni kuwa humu Kuna wabobezi wa maswala ya mahusiano na pia Kuna wanawake wenyewe.
Binafsi nimeleta hapa ili nijue situation Kama hii kwa wenzangu wengi wangeimlizaje.. Niko jealous because i used to trust her so much na jinsi alivyo sikuwahi kuwaza angekuwa wa hovyo kiasi hiki.
 
Ile naul 150k ultoa au hukutoa?

km hukutoa bas umefanya vzur , inaonesha mda aliokwambia yupo na shoga ake alkua anaenda kuchukua hyo hela ya naul kwa mwamba
 
πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€
 
Si huwa mnasema hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja sasa mnaulizana nini (natania [emoji2][emoji2]) Kama imani nae huna tena bora umuache mapema tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uwongo...nyie wanawake mnakuwaga na wanaume wanne.
1)talk dark and handsome.
2) mwenye hela ila ana mke
3) anayejua kuchakata mbususu vizuri ila ndio hana hela🀣🀣🀣
4) unayempenda kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…