Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

Ujumbe umepokelewa.........lakinii jamani kuna exception kwa kila general rule...kuna wengine wakavu bana akirudi ye kama katoka kumuona mamake mzazi.....life goes on yaani
 
Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..

1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.

2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.

3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.

4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.

5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..

Tuzinduke jamani na wake zetu

1. Labda kama wamefanyia majanini, Pia sehemu kama Dar the first thing ukitoka popote ni kuoga, pengine kama unawashauri watu wa Tukuyu.

2. Nijuavyo wanawake si watu kubadili nguo kila baada ya ratiba ni sehemu ya utamaduni, na ndiyo wateja wazuri wa mavazi, hivyo ni lazima atataka kila vazi livaliwe mahala pake, hivyo katika dalili hii unahitaji kuwa makini

3. Kumbe mabint wa siku hizi makauzu hivyo yaani mnakodoleana macho mwanzo mwisho, hata aibu za ku pretend ili kunogesha uwepo wake na wako hakuna?hii ni hatari.

4. Are you married son...??
5. Hapa kidogo pana ukweli mwingi......but dont get sticked to it, reason.

Mwisho namalizia kwa kusema chukulia fifty - fifty. Usije ukachanganyikiwa
 
Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..

1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.

2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.

3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.

4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.

5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..

Tuzinduke jamani na wake zetu
Ongezea hulala kama amekufa.
Kukweli ukifuatilia sana haya utapata presha.
 
Back
Top Bottom