Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

unazungumzia wanawake hawa hawa wa siku hizi au wa zamani?

-Kwanza hawana aibu hawa siku hizi, kwa hyo hatapepesa macho pembeni kamwe.

-pia atarudi akiwa keshaoga ananukia uturi(si unajua pochi zao wanabeba lotion nk?)

halafu hawakurupushani nguo wakiuza mechi, atazitoa in advance zirudi salama.
 
Mkuu hujakutana na jike lililokubuhu, anakuangalia macho makavu na busu utapata na mzigo utapewa vilevile, nenda bagamoyo uone!
 
Ukimchunguza kuku, huwezi kumla...

Ushauri, tusihangaike kupekenyua kwani mara nyingi huwa hatuna cha kufanya baada ya kugundua.... do it if only you are perpared to leave your wife, otherwise ni kujisumbua

afterall ukishaanza kuhangaika hivyo hata uwezo wa ku-do the needful unakufa au kupungua sana

openness is key
Thumb up!
 
we acha tu, kuna mtu kakimbilia tigo kuprint statement ya mkewe, kahonga pesa kibao, kupewa statement puh! yuko aga khan analalama, hata wewe mshkaji, hata wewe uncle?? yani kumbe hata joe alikua hajamalizana nae??, Ha!! kumbe wife ansagana na mary??? hivi kumbe neighbor nae ansalandiank... halafu anajiuliza... lakini mbona hajawahi nitendea ubaya??

sasa hivi anakesha Bar, kazi kaacha.... yuko tena anategemea salari ya huyohuyo mamsap

you dont need to go that way kama huna kifua.... na hata ukiwa nacho ujue ulishajiandaa kusepa, with or without findings
Tofauti ya wewe mwenye mke na hao jamaa wa nje ni kwamba wewe unakula kwa uhuru ila wao wanakula kwa wizi ila wote mnakula nyama ile ile.
 
tofauti ya wewe mwenye mke na hao jamaa wa nje ni kwamba wewe unakula kwa uhuru ila wao wanakula kwa wizi ila wote mnakula nyama ile ile.

tena hao jamaa wa nje ndio wanaofaidi kuliko hata we mwenye mwli wancheza sana rafu
 
Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..

1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.

2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.

3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.

4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.

5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..

Tuzinduke jamani na wake zetu

Na wewe unaporudi nyumbani huku umetoka kumsaliti mkeo unaonyesha dalili gani??? ziandike nazo
 
Wakuu JF.
Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..

1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.

2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.

3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.

4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.

5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..

Tuzinduke jamani na wake zetu

Binafsi, nimewahi kama mara tatu tu kwenda guest house na mpenzi wangu wa zamani....tena mara zote hizo ni wakati tupo chuoni...kwahiyo at my age, naweza kuthubutu kusema kwamba sina uzoefu wa kutosha na mambo ya guest house. Hata hivyo, nasikia wazinzi wengi wanamalizia haja zao kwenye nyumba za kulala wageni a.k.a guest houses. My question kwenye hiyo point namba moja, Hivi guest houses nyingi si zinakuwa na maji mkuu?! Ina maana huko hawaogi hadi wakaoge pindi wanapofika home?! bana mwanamke msafi akifika home lazima atakimbilia maliwatoni kuoga hata kama hajatoka ku-do! si ajabu mtu amekutwa na cku zake bila kutarajia na anaamua kukimbilia kuoga pindi anapofika home na si ajabu hapo ndipo atakapoamua kuzisweka nguo zake kwenye kapu chafu (poin namba 2). By de way, hizo nguo zitakuwa zimechafuliwa na nini?! manake mimi na demu wangu tulikuwa tukifika tu, cha kwanza ni kutoa nguo na unaziweka kwenye kamba taratiiiiibuuuu, ikirudi mwilini wala hujui kwamba jamaa wanatoka kuvunja amri ya sita. Mkuu, hiyo ya kwanza na ya pili nahisi kama inaweza ku-apply zaidi vijijini ambako si ajabu watu wanabanjuana maporini ambaklo pia hakuna maji ya kujiswafi na godoro ni nguo ya mwanamke, lakini kwa mazingira ya mjini; i doubt!...mbaya zaidi, Sasa utawafanya watu waanze kuwa na pressure wakiona wake zao wanakimbilia kuoga mara wanapotoka kwenye mizunguko yao!!! Lakini sio issue, binafsi nasubiri nizeeke zeeke kwanza, ili hata nikiwa nashitukia kwamba waifu katoka kuvunja amri ya sita; nitakuwa nashukuru manake cku hiyo hatanisumbuasumbua kutaka!
 
....dahhh, sijui kwanini siku zote hizi mimi nilidhani nasdaz ni mwanamke, labda nilikuwa
nakuchanganya na yule ..."jaz",,,

...anyway, hiyo kukimbilia bafuni ni woga wao tu kwamba huenda bado
ana harufu ya janaba, au ya huyo mwanaume mwingine. Si wajua binadamu 'hunusa'
pia kama wanyama?
 
Huu utafiti ulifanyika wapi? na ulijumuisha wanawake wenye umri gani? na ambao wamekuwepo katika ndoa kwa muda gani? na matokeo hayo ni asilimia ngapi ya watu waliohojiwa au kufanyiwa utafiti?
 
Jameniii, kitu anacho penda mkeo weye uchukie? kweli unampenda! acha afanye hata ö! Kwani ina Makombo? mbona tuko hivi bana!
 
wewee ukiwakuta wa pwani hutajua hatakama katoka dakika kumi zilizopita, wao wamefunwa mpaka kuiba nje. haendi kuoga, habadili nguo, ukimuangalia usoni nae anakutolea macho kama paka, ukitaka mchezo anaenda kama kawa na wewe wala hutashituka kitu, wachabwana.
 
Back
Top Bottom