Wanaume wenye vitambi wengi wana vibamia

Wanaume wenye vitambi wengi wana vibamia

Wewe ni mke mzuri unaondoka na kumwacha peke yake wiki tatu.
Safi sana anapata nafasi ya kufanya mambo yake.
nilienda Kwao kuwaona wazazi wake na watoto halafu nikapeleka watoto shule wanasoma mbali na wako nchi tofauti,lakini namuamini kwa kiyasi flani na its not about him anymore,watoto elimu ndio muhimu mkianza kufatiliana au kulindana mbona yamuhimu yatawapita,cha msingi heshima ipo na na maelewano mapungufu inabidi tuvumiliane ili maisha ya songe...
 
Siyo kweli.
Utakuwa umekariri,eti mwanaume mwembamba ana mzigo,halafu mnene ana kibamia.Hujawahi ona mwanaume mnene ana mzigo kuliko mwembamba?
 
kuna mmoja huyo duh hapana kama vile tu kitambi kipo na yupo vile jea akiwa hana itakuwaje?
Pole kwa maswahibu yaliyokupata, ila ndio namna ya kupata uzoefu, vipi hakupita mlango wa nyuma?
 
mwanaume wa haja ni yule anaejiweka vizuri muonekano pia hata kimwili hili kupelekea mwanaume kunywa pombe, kitimoto, nyama choma, na bia bila mpangilio imepelekea wanaume wengi kuwa na vitambi visivyo na maana yoyote.. mwanaume mwenye kitambi kiukweli huwa ni mzito na kwenye gem kimoja hoi kumridhisha mpenzie ni ndoto maana kitambi kinameza uume kinabaki kama kipisi cha sigara a. k.a.kibamia pumzi ndogo pia inachangia kila mwanamke anapenda wawapo faragha aridhishwe na mpenzie siyo kuachiwa haja kwa mimi binafsi napenda sana mzigo wa haja.. kama una kibamia tumia hii kitu ikusaidie kurefusha uume na kuwa na uume wa haja...kazi kwenu wenye vibamia.. View attachment 411738
HII NI THREAD YAKO YA 10, ZOTE UMEONGELEA WANAUME DAH! WW KIBOKO NA UNATUNYOOSHA!
 
Mkuu yu heti vitambi so machi
Apana mkuu nahisi kama mtu ni mumewako its beta kumsaidia ili ku enjoy,na pia afya yake ni muhimu,na anapovaa nguo au unapomnunulia nguo una uhakika na size na unajisikia raha akivaa akipendeza bila kitambi,lakini kitambi kupata suruali shughuli,kupata shati balaa na akitembea ana hema mpaka unamuonea huruma...mie wangu ningempelekesha mbio gym mpaka basi..
 
nilienda Kwao kuwaona wazazi wake na watoto halafu nikapeleka watoto shule wanasoma mbali na wako nchi tofauti,lakini namuamini kwa kiyasi flani na its not about him anymore,watoto elimu ndio muhimu mkianza kufatiliana au kulindana mbona yamuhimu yatawapita,cha msingi heshima ipo na na maelewano mapungufu inabidi tuvumiliane ili maisha ya songe...
Safi sana hongera kwa kujitambua mtadumu na mume wako.
 
Mwanaume wa haja ni yule anaejiweka vizuri muonekano pia hata kimwili hili kupelekea mwanaume kunywa pombe, kitimoto, nyama choma, na bia bila mpangilio imepelekea wanaume wengi kuwa na vitambi visivyo na maana yoyote.

Mwanaume mwenye kitambi kiukweli huwa ni mzito na kwenye gem kimoja hoi kumridhisha mpenzie ni ndoto maana kitambi kinameza uume kinabaki kama kipisi cha sigara a. k.a.kibamia pumzi ndogo pia inachangia kila mwanamke anapenda wawapo faragha aridhishwe na mpenzie siyo kuachiwa haja kwa mimi binafsi napenda sana mzigo wa haja.

Kama una kibamia tumia hii kitu ikusaidie kurefusha uume na kuwa na uume wa haja...kazi kwenu wenye vibamia.. View attachment 411738
Unaweza kutana na hicho unachosema kibamia na ukakojozwa vya kutosha, acha kukariri, au lah kama unajiiona we unayo kubwa , basi tafuta akina Mandingo unapata unachotaka. Lakini si kushauri watu kutumia hayo madubwasha yenye madhara. Huyo wa kibamia Ana wake anayeweza mtosheleza.
 
mmmmmm mku ebu nipe faida 3 za Vitambi? yani mr nikianza kuhisi tuu lazima niulize kwani vp? nimeondoka just 3 weeks narudi nakuta kitambi vp? inabidi nijitahidi kumsaidia kiondoke..
1/kinakufanya uonekane una pesa....atakama umefuria
2/wanawake wanakushobokea...[emoji23] [emoji23]
3/kinakupa kujiamini....mbele za watu
.....kitambi raha somehow.....ika sio kwa mwanamke.....
 
1/kinakufanya uonekane una pesa....atakama umefuria
2/wanawake wanakushobokea...[emoji23] [emoji23]
3/kinakupa kujiamini....mbele za watu
.....kitambi raha somehow.....ika sio kwa mwanamke.....
hahahahahah Okiiiiiiiiii lakini kwangu mbona hizo bado sio valid reasons,unataka kunambia watu wasiokua na vitambi hawajiamini?
 
hahahahahah Okiiiiiiiiii lakini kwangu mbona hizo bado sio valid reasons,unataka kunambia watu wasiokua na vitambi hawajiamini?
sijui kuhusu wao...bt...kwangu mm hata nisipo kuwa na hela....kuna nifanya nijiamin zaid pale ninapo kutana na watu....hususani watu wenye nyazifa kubwa...
 
Back
Top Bottom