Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 211
Chunguza mapema maana karibia msimu wa matangazo ya KIBONDE unaisha usijefurahia kumbe ujumbe unakuhusu. Kama huyajui please uliza nikumegee japo moja.Habari wana jf, kuna tabia baadhi ya wanaume wanayo ya kutokula mtokapo kazini usiku. Mke umerudi umechoka ila kutokana na majukum ya ndoa unamtayalishia Mr. Msosi nzuri cha kushangaza akifika anakwambie nilichelewa kula lunch so bado nimeshiba. Wakati nimemaliza ufundi wote kukuandalia chakula.Siku akila basi ni vijiko vitatu kashiba kwa tabia izi mnatukera sana wake zenu, jirekebisheni
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU
Wewe ni nooooma, Mh! hadi uvimbiwe?UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU
UKIONA HIVYO KUNA MAHALI ANAKULAGA NDIO ANAKUJA NYUMBANI ANAKULA EITHER bAR AU KUNA MAHALI KAGUNDUA KUNA MSOSI MTAMU SANA.MIMI MWANAUME AKISEMA AMESHIBA WAKATI NIMEMWANDALIA HUWA HATA KAMA NIMESHIBA NIMELALA NAAMKA NAKILA KILE CHAKULA CHOOOOOTE BORA NIVIMBIWE .ATAJIFUNZA TU SOMO HUHUU TENA UKUTE NI NYAMA YA KUKU NITAIAMKIA SAA NANE USIKU PUMBAFU
​ukiona manyoya..................ujue keshaliwa huyo, kaa chonjo
Duuu! Kweli wewe mfawidhiAisee...hv kwanini humu duniani vitu vipo tofauti-tofauti? Wengine tuna-wish wake zetu muwe hivi lakini tumekumbana na wanaofikia kulala wakitoka kazini. Tunaishia kula chakula cha hausigeli!
Hv haifai kubadilishana wanawake?
Na nyie wanawake mnaofanyaga haya,muwafundishege na wenzenu basi, waume wengine tunaumia