Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,304
Hizo enzi uzisikie kama hivi asali ilikuwa ghali sana na kumbuka kulikuwa hakuna utaalamu wa kutega mizinga kama sasa hivi so hali hiyo ni bora uiwazie tu kuliko kukutana nayo.Huo sasa utani,
Wanakamulia Mua kwenye chai???
Asali haikuwepo?
Au nayo ilikua ghali.