Wanaume wenye huruma

Wanaume wenye huruma

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na hudumu kwenye ndoa.

Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenye dharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenzi type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa.

Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi. Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari.
 
Mwanaume mwenye huruma, ni mpenda wanawake, anaethamini wanawake, na ni mkweli, na mwenye moyo mzuri, huyu upendwa tu hata kama hana pesa. Na udumu kwenye ndoa.

Wanaume wakatili, wabakaji, wenye maneno mabovu, waharibifu wa wanawake, wababe wababe, wazinzi, wenyedharau, wenye kuthamini marafiki na magroupe magroupe kuliko mwanamke wake, wanaopenda mamlaka na ukubwa ukubwa, wanaopenda sifa sifa, waongo, wanaojifanya wajanja, hawa wanaitwa washenz type, hawa hawapendwi na hawadumu kwenye ndoa. Wakifulia ukimbiwa, dawa yao ni kukomolewa na kuwadai pesa nyingi, bila pesa hawapendwi.

Kwahiyo mnaopendewa pesa, basi mjue labda munadosari,
Mkuda wewe!
 
Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi

*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini
Uzoefu wako haujatimia....endelea kuzoea hizi mbio utagundua kwanini wanaokimbia pole pole hukimbia mita nyingi(4000) na wanaokimbia kwa maguvu huishia mita 400.
 
Dada wewe, mwanaume kama salio halisomi ataisoma namba... Usiwadanganye..

Labda huyo mwanamke sister doo, yupo kwa maslai yake binafsi. Kiufupi anajiuza kwako, hata kama mkeo yupo hivo basi jua umeoa, hasiekupenda kweli anapenda pesa.
 
Uzoefu wako haujatimia....endelea kuzoea hizi mbio utagundua kwanini wanaokimbia pole pole hukimbia mita nyingi(4000) na wanaokimbia kwa maguvu huishia mita 400.
Haaaa
Uzoefu wangu uko sahihi mkuu

Labda tuna zoefu zilizo tofautiana
 
Mi ninahuluma na Mpole ila niliachwa na mwamke aliye nitongoza mwenyewe nikikukumba nacheka kwa madharauuu ni yeye ndo kasababisha mimi Leo nipo hivi UKWELI wapole tunaumizwa mnooo ,,NB,,,Hata unaye muona Malaya Leo anajiuza naye alikuwa malaika ,,Kama yesu mwenyewe ilifikia Asambaze vitu sokoni kwa kutumia nguvu zake za kimwili na kusema kwanini kanisa mwalifanya kuwa pango la wanyang'anyi ,,Aliona nikiongea kwa upole tena hapa yawezekama wasihame,,So jua kuwa kila shetani wa sasa alikuwa malaika wa Jana kunavitu vimetufanya tukose huruma juu yenu ,, Hua najiuliza ikiwa Mwanamke kanitongoza mwenyewe kanifanyia hivi,,,Je niliye mbembeleza kwa miezi kadhaa si ni siku mmoja tu ananiuwa,,
 
Uzoefu wangu unaonesha wanaume wapole, wenye huruma na wenye mapenzi ya dhati huishia kuumizwa sana
Sasa kuna wale wakorofi ndo huwa wana liliwa kilasiku na hawa achwi

*ki ukweli huwa nashindwa kujua kwa nini

Upole na huruma ni vitu viwili tofauti.
Mtu anaweza kuwa na huruma hata kama anaongea sana.
Na anaweza kuwa shenz type hata kama ni mpole.
Wanaume wapole asilimia kuwa ni hatari, wazinzi, wajeuri, na wanamisiri lukuki, ukiambiwa huwezi kuamini.
 
Sawa
Ila mi nimeongelea wapole na wenye mapenzi ya dhati.
Yaan wanawake hao wakisha gundua wanapendwa bas ndio wanaanza vituko.
Ila kwa anaye mletea nyodo na kiburi aaah dada wa watu anaburuzika vizuri tuu
 
Hivi mtu mwenye huruma na anaekupenda kwa dhati, na unaempenda kwa dhati utamfanyia ubaya? Hapo kuna dosari kama si kwa mwanamke basi kwa mwanaume. Ama hakuna mapenzi ya dhati kutoka kwa huyo mwanamke, ni sister duu. Anawapenzi wengi
 
Hamna ni kawaida
Mwanamke akisha gundua una mpenda sana anahisi huwezi ishi bila yeye, anadhani yaan amekuweka kwenye kiganja, wale wanao wa ignore ndo wanawang'ang'ania yaani hiyo ipo mnoo.

*sikiliza wimbo wa siwema wa Marijani Rajab ndo utapata picha nnayo ongea
 
Back
Top Bottom