Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Ni kweli tuna laana and we are proud of it, am out.
 
Wanasema wenyewe eti mkulima anavuna ambegu yake.
 
Tabia za binadamu ni variant sana. Hakuna mganga wala mchungaji hapo. Ni tabia iliyojijenga kwa huyo mzee, iliyotokana na athari ya kiasaikolojia ambayo inamfanya aone binti yake mwwnyewe is edible or doable, na pengine ndani wanajua mtoto si wababa ila mzee analea tu, hivyo mama kutokupanic ni kuwa ukweli wanaujua. So mtoto wa bwege mwingine anamlea kama mke mwenza,
 
Habarini wadau!
Naomba niende kwenye mada.
Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE?

Machangudoa wote hawa waliojazana Kimboka,Kona bar na kingwineko?jamani!

Hawa wababa wa miaka hii hivi si laana hii kwa kweli?!!!

Hivi mtoto uliyemzaa ana utamu gani jamani?Mbaya zaidi mama unajua umekaa kimya wamuacha mtoto anaharibiwa tuu kisa waogopa bastola atakuua.
Hivi we mama ni mzima kweli?
Au mambo za kishirikina zimewatala?

Hivi vitu vinatia huzuni sana mbaba kabisaa anamlala binti yake ndani kwake, chumbani mama waangalia tu mtoto anakosa mtetezi hivi huyu mtoto akikua atakuja kua mwanamke wa aina gani?

Yaani kwa kweli imeniuma nafsi haswaa kabinti kazuri ila baba ndo anamfanyia ukatili huu wa kijinsia kwa kweli inahuzunisha sanaa na inatia hasira mnoo...mbaya zaidi baba huyo huyo anamuambia mtoto atafute mabwana akipata akalale nae then anasingizia mwanawe kabakwa anenda polisi anaanza kumtishia yule mwanaume atamfunga au ampe milioni 8 kama huna unashuka mpk 1milioni ukimpa kesi inaisha anamtafuta victim mwingine wa kumuangushia jumba bovu!Jamaaanii jamaanii

Naumia Mimi kama mama eeh!Mungu weeeh!hawa wababa jamani hawaaminiki hivi loohh!

Hii dunia hii!!natamani kwenda Pluto!
Umechukua hatua gani?
 
hata wewe unaonekana unamuogopa huyo jamaa mbona habari haijakamilika... hujasema wapi lini.. majina yao na kijiji..!!!
 
Ungemtaja huyo mtu vizuri, sasa naona hisia zimekutawala hadi huwezi kusimulia vizuri
 
Duu ndio maana hata rais wetu mstaafu alisema .Zakuambiwa changanya na za kwako
Binafsi kama ni rafiki yangu kanishauri hivyo nitakata urafiki naye ni bora niwe peke yangu;rafiki kama huyo hana maana.
 
Write your reply...halafu usitujumuishe wanaume wote kwenye hio laaana unatukusea adabu wanaume
 
Haya mambo haya jamani, wakati mwingine unaweza hisi ni hadithi tu kumbe kweli kabisa
 
Sasa mtu mzima anakula kitu roho inapenda,
Mtoto wake mwenyewe anathubutu kumla denda,
Mwisho kama masikhara anakula mpaka tunda,
Ni sawa na mkulima kuvuna alichokipanda.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom