Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Naamini mwanaume huwa anamtamani hata binti yake na mama asipokua makini baba anaweza akamlala binti ambae hayuko kwenye umri wa kujiamulia

Wataalamu wanasema watu walioshare damu moja huwa hawatamaniani.
 
Ungefunguka vizuri mkuu,limetokea wapi hilo? Maana hapa hawezi kosa wakumsaidia!

Au pia unaweza kutoa taarifa polisi,mtoto asaidiwe huyoo
 
Habarini wadau!
Naomba niende kwenye mada.
Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE?

Machangudoa wote hawa waliojazana Kimboka,Kona bar na kingwineko?jamani!

Hawa wababa wa miaka hii hivi si laana hii kwa kweli?!!!

Hivi mtoto uliyemzaa ana utamu gani jamani?Mbaya zaidi mama unajua umekaa kimya wamuacha mtoto anaharibiwa tuu kisa waogopa bastola atakuua.
Hivi we mama ni mzima kweli?
Au mambo za kishirikina zimewatala?

Hivi vitu vinatia huzuni sana mbaba kabisaa anamlala binti yake ndani kwake, chumbani mama waangalia tu mtoto anakosa mtetezi hivi huyu mtoto akikua atakuja kua mwanamke wa aina gani?

Yaani kwa kweli imeniuma nafsi haswaa kabinti kazuri ila baba ndo anamfanyia ukatili huu wa kijinsia kwa kweli inahuzunisha sanaa na inatia hasira mnoo...mbaya zaidi baba huyo huyo anamuambia mtoto atafute mabwana akipata akalale nae then anasingizia mwanawe kabakwa anenda polisi anaanza kumtishia yule mwanaume atamfunga au ampe milioni 8 kama huna unashuka mpk 1milioni ukimpa kesi inaisha anamtafuta victim mwingine wa kumuangushia jumba bovu!Jamaaanii jamaanii

Naumia Mimi kama mama eeh!Mungu weeeh!hawa wababa jamani hawaaminiki hivi loohh!

Hii dunia hii!!natamani kwenda Pluto!

Mkuu wala usimshangae huyo mama kwa kunyamazia huo udhalimu maana hata wewe pia umeshindwa kumsaidia huyo mtoto kwa kutoripoti suala hili panapohusika.
 
Habarini wadau!
Naomba niende kwenye mada.
Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE?

Machangudoa wote hawa waliojazana Kimboka,Kona bar na kingwineko?jamani!

Hawa wababa wa miaka hii hivi si laana hii kwa kweli?!!!

Hivi mtoto uliyemzaa ana utamu gani jamani?Mbaya zaidi mama unajua umekaa kimya wamuacha mtoto anaharibiwa tuu kisa waogopa bastola atakuua.
Hivi we mama ni mzima kweli?
Au mambo za kishirikina zimewatala?

Hivi vitu vinatia huzuni sana mbaba kabisaa anamlala binti yake ndani kwake, chumbani mama waangalia tu mtoto anakosa mtetezi hivi huyu mtoto akikua atakuja kua mwanamke wa aina gani?

Yaani kwa kweli imeniuma nafsi haswaa kabinti kazuri ila baba ndo anamfanyia ukatili huu wa kijinsia kwa kweli inahuzunisha sanaa na inatia hasira mnoo...mbaya zaidi baba huyo huyo anamuambia mtoto atafute mabwana akipata akalale nae then anasingizia mwanawe kabakwa anenda polisi anaanza kumtishia yule mwanaume atamfunga au ampe milioni 8 kama huna unashuka mpk 1milioni ukimpa kesi inaisha anamtafuta victim mwingine wa kumuangushia jumba bovu!Jamaaanii jamaanii

Naumia Mimi kama mama eeh!Mungu weeeh!hawa wababa jamani hawaaminiki hivi loohh!

Hii dunia hii!!natamani kwenda Pluto!
Ripoti kwa wahusika kimya kimya akamatwe
 
Hapo wa kulaumiwa ni wengi sana, kuanzia baba, mama, na watu ambao wanajua halafu wanabaki kuwanyooshea vidole!

Kuna kitu ambacho hatukijui ni kwamba mtoto ni wa jamii nzima na Taifa, akikuwa akiwa kiongozi hataongoza familia yake tuu!!

Kuna vyombo vya sheria, tatizo kama hilo lipo hivi kweli inashindikana vipi kutoa taarifa?! Mtoto anaumia, anateseka lakini hakuna anayeweza kuhisi walau chembe ya maumivu ya huyo mtoto.

Binadamu tumekuwa wa ajabu sana jamani!!
kwakuwa alieleta mada anaelewa situation nzima ni vizuri akawaripoti hao wazazi.
 
Habarini wadau!
Naomba niende kwenye mada.
Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE?

Machangudoa wote hawa waliojazana

nilijipanga kukujibu lakini kukutana na sentensi ya kwanza tu nimeogopa hata kumalizia kuisoma nitarudi baadaye nimeishia.
TOBAAA!
 
Back
Top Bottom