Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,380
Reaction score
56,078
Habarini wadau!
Naomba niende kwenye mada.
Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE?

Machangudoa wote hawa waliojazana Kimboka,Kona bar na kingwineko?jamani!

Hawa wababa wa miaka hii hivi si laana hii kwa kweli?!!!

Hivi mtoto uliyemzaa ana utamu gani jamani?Mbaya zaidi mama unajua umekaa kimya wamuacha mtoto anaharibiwa tuu kisa waogopa bastola atakuua.
Hivi we mama ni mzima kweli?
Au mambo za kishirikina zimewatala?

Hivi vitu vinatia huzuni sana mbaba kabisaa anamlala binti yake ndani kwake, chumbani mama waangalia tu mtoto anakosa mtetezi hivi huyu mtoto akikua atakuja kua mwanamke wa aina gani?

Yaani kwa kweli imeniuma nafsi haswaa kabinti kazuri ila baba ndo anamfanyia ukatili huu wa kijinsia kwa kweli inahuzunisha sanaa na inatia hasira mnoo...mbaya zaidi baba huyo huyo anamuambia mtoto atafute mabwana akipata akalale nae then anasingizia mwanawe kabakwa anenda polisi anaanza kumtishia yule mwanaume atamfunga au ampe milioni 8 kama huna unashuka mpk 1milioni ukimpa kesi inaisha anamtafuta victim mwingine wa kumuangushia jumba bovu!Jamaaanii jamaanii

Naumia Mimi kama mama eeh!Mungu weeeh!hawa wababa jamani hawaaminiki hivi loohh!

Hii dunia hii!!natamani kwenda Pluto!
 
Huyo mama pamoja na kuogopa iko siku atachukua maamuzi mabaya kwa huyo baba. Huyo binti atakua atapata wanaume hatajali wala kuwathaminj kwa kuwa atakua ameshaharibika kisaikolojia na hao wanaume watakuja hapa JF kumsema mwanamke wa aina yake bila kujua alipitia mangapi katika ukuaji wake.
 
Hapo wa kulaumiwa ni wengi sana, kuanzia baba, mama, na watu ambao wanajua halafu wanabaki kuwanyooshea vidole!

Kuna kitu ambacho hatukijui ni kwamba mtoto ni wa jamii nzima na Taifa, akikuwa akiwa kiongozi hataongoza familia yake tuu!!

Kuna vyombo vya sheria, tatizo kama hilo lipo hivi kweli inashindikana vipi kutoa taarifa?! Mtoto anaumia, anateseka lakini hakuna anayeweza kuhisi walau chembe ya maumivu ya huyo mtoto.

Binadamu tumekuwa wa ajabu sana jamani!!
 
Kama sio mambo ya kishirikina basi jamaa kajua mtoto sio wake maana kwa hali ya kawaida dudu haliwezi kusimama kwa mwanao
 
Huyo mama pamoja na kuogopa iko siku atachukua maamuzi mabaya kwa huyo baba. Huyo binti atakua atapata wanaume hatajali wala kuwathaminj kwa kuwa atakua ameshaharibika kisaikolojia na hao wanaume watakuja hapa JF kumsema mwanamke wa aina yake bila kujua alipitia mangapi katika ukuaji wake.
Umeona eeehh!mwishoni huyu binti hatokaa amthamini au kupenda jinsia me anaweza kua anawaumiza kila siku kwa hvi vinavyotokea
 
Naamini mwanaume huwa anamtamani hata binti yake na mama asipokua makini baba anaweza akamlala binti ambae hayuko kwenye umri wa kujiamulia
Yaani kabinti kazuri kaleee ukikaona
 
Back
Top Bottom