Wanaume wengine majanga

Wanaume wengine majanga

Ahahaa...... mkuu Evelyn SALT ni kweli huyo jamaa nadhani inabidi aitathmini mashine yake kama ipo katika ubora ule ule au lah...
Huyo lazma kisu chake ni BUTU hakifai kulia nyama ni cha kupakia blue band kwenye mkate tu...
 
Last edited by a moderator:
ya kusaga mahindi au mihogo ale nyuki kule huwa hawaumi wazuri sana

Sasa mtani mbona unachanganya madawa kama umeshakunywa mbege.....sasa nyuki na mambo ya nafaka wapi na wapi......au umesahau kuwa nyuki ni mzee wa utamu....na kama unavyojua utamu upo chini....
 
aiseee mkuu wewe hujui aisee nyuki anajua utamu ulipo anagusa gusa anasepa
 
Jamaa yako ni nyuki wa canteen haumi kazi kulamba sukari....
utakuta hata huyo mmoja hadonoi wala nini show off tu mjue kala, na usikute ni jogoo wa kuchora hawiki!!

well said mkuu, m mwenyew nakumbuka kuna kaka tulkua 2nasoma nae chuo, jaman kaka alkua mzur usiombe.... m mwenyw nilmpenda..... alkua na wanawake chuo kizima kila darasa anae mmoja au wawil, intake mpya lazima achague wakubeba.... sasa kimbembe akantogoza na mm weeeh! nikashangaa mbna aombi mzigo na tunakaa faragha mda mref sana, cha kuongea hamna, nkamtolea uvivu siku hyo...... kumbe bana kibamia alaf hawiki vizur... ndom inavuka hahahhaahha

ila nilimuonja hivyo hivyo aiseee.... uzalendo ulnishinda! afu akaja nambia m ndo mwanamke wake wa kwanza kulala nae, kwahyo hata huyo nakuunga mkono kabisa
 
hicho ni kituspiki au spoko ya mshikaki
 
Ha ha ha ha acha ncheke kama mazuri vile lol...
mwanaume anajifanya mtu wa madem mara kaenda na huyu karudi na yule hamna kitu hapo huyo ni mkimbiza mwenge tu....
 
Ha ha hahaha,kitu betri ya "remote"
 
belie unanivunja mbavu kweli yani ulimuonja na kibamia chake sasa izo nyanya chungu si zilizama kwenye chungu! Baah mwe jf!
 
Hili jukwaa watu wanaimiza uzinzi ngoja nitoke.Maombi kweli yanahitajika umu ndani
 
Ana nyota ya kukenua huyo,na hao madada anaokutana nao wanakuwa turned on na dental formula tu.
Ngoja akutane na chapa wallet aone kama watamganda kisa aliwakenulia!!!!
 
Ha ha ha ha acha ncheke kama mazuri vile lol...
mwanaume anajifanya mtu wa madem mara kaenda na huyu karudi na yule hamna kitu hapo huyo ni mkimbiza mwenge tu....

Hahaaaa!
Nimelipenda hilo jina la ubatizo
 
Back
Top Bottom