Urembo huo wa kuchora wanja unawahusu zaidi maharusi wa kike, nyakati za sikukuu na hasa za kidini! hususani wanake wa kiisilamu ndio wanaopendelea zaidi kwa hapa kwetu asili yake ni ukanda wa pwani hasa Tanga na Zanzibar utamaduni huu wamelithishwa na nchi za kiarabu! Wanawake wengi wanapenda urembo huu kwa kuwa hauchubui ngozi na unaweza kukaa nao kwa muda wa wiki moja mpaka mbili hivi!Frankly speaking,baadhi yetu wanaume hatupendi ile michoro mieusi inayonakishishiwa kwa ina kuchora maua mikononi na mpaka miguuni,natambua kwa wengine ni urembo lakini wengine hatuifurahii kabisa tofauti na mategemeo ya watumiaji,unamkuta msichana mrembo sana mtoto white alafu anajiharibu kwa hiyo ina,wengine weusi wanapaka hiyo rangi iliyo na weusi yaani badala ya kuwa mrembo zaidi inakuwa kinyume chake.
jf inazidi kushuka thamani.
Yani mtu anaandika kitu kisicho na kichwa wala miguu, kama vile ametapika.
Frankly speaking,baadhi yetu wanaume hatupendi ile michoro mieusi inayonakishishiwa kwa ina kuchora maua mikononi na mpaka miguuni,natambua kwa wengine ni urembo lakini wengine hatuifurahii kabisa tofauti na mategemeo ya watumiaji,unamkuta msichana mrembo sana mtoto white alafu anajiharibu kwa hiyo ina,wengine weusi wanapaka hiyo rangi iliyo na weusi yaani badala ya kuwa mrembo zaidi inakuwa kinyume chake.
una hakika gani kuwa wengi tunachukia?? me najua weng hatupendi ile michoro isiyofutika but hii ya kuchora siku 2 tatu na kuisha ni kama rangi za kucha au shedo tu kwa demu na kuna michoro huwa inavutia na kumfanya girl aonekane smart pia
mi pia sipendi. na hapa sio suala la dini tunaloongelea. Beauty is in the eyes of the beholder.
Kama lengo ni urembo, wengine tunaona ni uchafu!!!