Wanaume wengi wananuka miguu

Wanaume wengi wananuka miguu

Kuna majani fulani nayafahamu yanatibu fungus za miguu
kwan inakuwa ni Fungus?.
Nadhan shida ni Mwanaume kutokubadilisha Soksi.
Utakuta ana pea 2 za Soksi. Na anavaa pea moja kwa wiki 2 hadi 3.

Tena wakat wa kuvaa hafuti vizuri vidole vikakauka. Kwahiyi inatengeneza uvundo . Unaokuwa mkubwa kila baada ya siku.

Bado shughuli zake anafanyia Juani. anatembea na kutoka jasho mwili mzima. Kila siku.
lazima soksi zinuke.
 
Viatu vinambana miguu haipati hewa ya kutosha sababu sio soksi hata asipovaa soksi itatoa harufu tu sababu ya viatu
Labda kama shughuli zake anashinda juani.

Mtu umeamka zako, umewasha gar hadi ofisin. Ofisi ina AC. Umemaliza kaz jion unarud zako home jua limeshapungua.
Unaanzaje kunuka miguu?.

Joto (jasho) + uvundo + kutobadili Soksi = kunuka Miguu
 
Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),

Aaagh, yote haya ya nini?.
tunaweza ambiwa migongo hatuilindi 😊😊😊😊.

Suluhisho ni kukausha miguu vizur kabla ya kuvaa soksi. Na pia kama mtu unapilika pilika mchana basi uwe unabadili soksi kila baada ya siku 2 au tatu.

Sio unavaa soksi moja wiki nzima.
 
Kabla sijaenda kwenye mada kuu natoa dukuduku langu, nilileta uzi mzuri tu ukafutwa bila sababu lakini humu kuna nyuzi kibao za kuponda, kulaani, kutukana jamii ya lgbt zimetulia uongozi wa jf unazichekelea ila sisi wahanga tukitaka kujitetea tunazibwa vidomo vyetu na kutiwa masingi, sasa nasema mod ulofuta uzi wangu kwa mihemko yako mie sijali wala nini, bendera itapeperushwa kama kawaida, upooooo

Walioreport tena wengine vibabu vizee visivyotaka kukaa chini ya mwembe kucheza na wajukuu zao, kutwa kucha kushinda mitandaoni kwenye mada za vijana kusambaza visukari vyao, nawashauri mkubali uzee ushafika tandikeni msala mlie na Mola wenu walau mpunguziwe toba hamna hayaaaaa, mxieeeeeeeee,
Duku duku langu nishatoa, mkimeza mkitema shauri zenuuuuuu😏🤧

Haya jamani wanaume mnaongoza kunuka miguu yaani mtu akivua viatu hadi nzi wanakimbia, panya wanajificha, kunguni wanakufa hii nini jamani!!!😷
Tena mtu mzima huyo bado atataka kulala bila kuoga, yurk
Wanawake zenu wanapitia mengi na kuvumilia mazito, muwaheshimu sana na hata wakibadili majina ya hati za nyumba muwavumilie pia,

Kwanza kwanini mnuke miguu? hamuisafishi eeh, hamvai soksi au hamfui soksi? na kama ni ugonjwa kwanini msiwaone wataalam mjitibie, naweza kuwaelewa wale jamaa wa migodini wanaopiga kazi nzito kwenye jua kali na wanavaa boots muda wote, nyie wengine excuse yenu ni nini? na ushajijua una hilo tatizo kwanini ukirudi tu nyumbani usikimbilie bombani kuosha miguu kabla hujaingia ndani kuchafua hali ya hewa, eeeww!

Muoshe miguu yenu hata mara moja kwa mwezi nendeni mkaoshwe miguu huko masaluni kama huna mke au hamuwezi kufanyiana na mkeo (wangu namuosha mwenyewe ila mie napenda kuoshwa saluni wanajua wale hehehehe),
Vaeni soksi safi na kavu, msirudie soksi mara moja inatosha,
Anikeni raba na boots juani,
Pakeni poda kwenye maungio ya vidole kabla hamjavaa soksi,
Pulizeni manukato ya miguu,
Tumieni foot cream kulainisha na kubalance unyevu unyevu,
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi.

Adios.
Usafi hauna jinsia ni jukumu letu sote kua wasafi. 😃😃😃

Wanaume wananuka Makwapa, Miguu, midomo doh hebu wapumzishe basi 😅
 
Ushoga huu mwanaume unakuwaje soft soft ivi mnachkuliaje wanaume yani ukaweke miguu kwenye stuli ili iwe soft huo muda unautoa wapi wewe mlelee mwanao kwa style iyo uone sio kila mada ukiiwaza unaleta hapa mengine fanya kwako na familia yako.
Safisha miguu yako, kunuka sio sifa
 
Mods waliniudhi mimi pia, nilikuwa nimeshaandika maswali yangu napost nakutana na kumradhi sio poa.

Eeenh! hapo umenena hawa wanaume zetu wa kibongo ni wachafu sana. si miguu tu jasho, vikwapa ,mdomo, makegeli.
kiufupi wajirekebishe.
Tukiwaita madikteta watasema tumefika mbali,

Baadhi ya wanaume wana hulka za uchafu jamani na hili joto la Dar unakuta wengine hawaogi
 
Back
Top Bottom