arafa255
Senior Member
- Mar 3, 2015
- 118
- 55
Heri za mwaka wana jf,
Ni ukweli usiofichika kuwa wanaume hatuna subira tuonapo mwanamke mpya machoni, either awe na standard au kawaida hatuchagui lazima tuanze kupapatika kama sisi ndio tunafaidi sana kwenye mapenzi while the last time i checked females ndio hufaidi almost two times zaidi yetu alafu ndio wapo patient kuliko sisi.
Mfano ukiwa unatumia social media angalia ikiwekwa picha au post ya mwanamke yeyote fuatilia comments zetu ni aibu kiukweli.Tatizo ni nini wazee tuambiane.
Pia tujaribu kuwa wavumilivu kidogo.

Last edited by a moderator: