Wanaume wengi ni wajinga

Hiyo 10,000 nilikwambia nitumie nikanunue chipsi mwenyewe pale kwenye mabanda nikalie nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kutoka out na mwanaume kwa 10,000tzs ni matumizi mabaya ya Fedheha.
Chips moja elfu 10[emoji44]?
 
Huu uzi unaonyesha wanawake mlivyo wajinga.
 
Umetukumbusha mkuu,ingawa sisi wengine huwa tuko 'simple' ila wake zetu na watoto lazima wawe classic kimuonekano kuanzia mjengo,usafiri,n.k;muonekano wao nje unatupa heshima sisi tusiopenda show off.
 
Utawalaumu sana wanaume. Mambo ya kuawawa kwa wanawake wengi wao wana midomo mirefu yaani unajibizana na mtu ambaye unajua hauna uwezo wa kumpiga halafu mpo wawili tu chumbani. Mumeo kashika simu kaona meseji za mapenzi au amekukosea lakini unajibizana naye. Unaanza kumtakana matusi makubwa makubwa mara mwanaume suruali wewe, mara kwani wakiitwa wanaume na wewe utapita mbele, hauna lolote, malaya mkubwa wewe, kwanza huyo mtoto siyo wako, ndiyo jana nilitomb*w unataka nini, tuachane (baada ya kupata ulichotaka), kwanza hunibabaishi kwa lolote n.k
Mwanamke ni kiumbe kinachothaminiwa sana na mwanaume ndiyo maana mwanamke anaweza kwenda mpaka Marekani asitumie shilingi yake. Unapoona mumeo kakushutumu au kakuudhi usijibizane naye hata kama ni kosa ni lake. Mjibu kwa upole na usimpandishie hata kama umemchoka au kosa ni lake. Hata kama alikuwa anataka kukupiga ataacha. Wanawake wengi wa sasa hawajui kuishi kwenye ndoa zao yaani yeye akigombana na mpenzi wake naye anaporomosha matusi makubwa mengine mpaka yanakera. Unamwambia mwenzako huyu siyo mtoto wako unategemea atakufanya nini wakati amemgharamia mtoto akiwa tumboni na wewe mpaka mtoto anafika miaka 6 lazima akufanye vibaya.
Kuna kisa kimoja cha jirani yetu yeye aliua mke na yeye kujiua. Huyu mwanamke aliolewa akiwa na watoto wawili kwahiyo baada ya kukutana na jamaa wakaanza maisha mpaka wakajenga na kupata watoto. Sasa kisa kilianza baada ya mwanamke kuanzisha biashara ya genge la chakula alipata pesa. Akaanza kujenga nyumba kisirisiri ili akimaliza ahame na ampige chini jamaa. Ikasemaka tena mwanamke alikuwa anatoka na mwanaume mwingine kwahiyo heshima ikashuka ndani. Usiku wa tukio usiku, mtoto anasema alisikia kama wanazozana ndani baba yake na mama yake baadae akasikia kimya. Kumbe mke alipigwa shoka ya kichwa na mwanaume akajinyonga kwa kamba. Asubuhi jamaa wakamkuta amekufa na mwanamke anapumua kwa shida. Wakampeleka bugando ICU baada ya siku akawa amefariki.
N.B
Mauaji mengi yanatokea pale mwanamke anapoanza naye kujibu mbovu. Mwanaume kakasirika anatukana naye mwanamke anapandisha anaanza kujibu mbovu mara huna jipya, tuachane, huyu mtoto siyo wako, kwani na wewe ni mwanaume katika wanaume, kwanza kitandani hujiwezi, tunakula nini hapa n.k Wanawake mtaendelea kuawawa sana. Ukiona mumeo kapandisha hasira chunga kinywa chako na kuwa mpole yaani jishushe uwe kama priton sababu hauna uwezo wa kumpiga halafu kibaya zaidi mpo wawili. Bora umtukane kwenye kundi la watu maana hapo kuna watu watakutetea.
HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUTOA UHAI WA MWENZAKE
 
Nilicho muelewa hapa yani uwezo wako mdogo lakini unajikakamua ili ukubalike.

Mfano unavaaa kiatu kilichopinda kutokana na uwezo wako ila kwa mpenzi unafokoa tu bajeti yako
Kabisa!

Anakuwa anafanya kwa mapenzi...kwa kidogo alichonacho anajaribu kumfanya mpenzi wake ajisikie na uspecial fulani
 

Screen touch ndio nini mkuu?
 
Aisee, umeenda op kabisa na alichokiandika mleta mada.
 
Kabisa!

Anakuwa anafanya kwa mapenzi...kwa kidogo alichonacho anajaribu kumfanya mpenzi wake ajisikie na uspecial fulani
Hata Uchebe kipindi yupo kwenye uchumba na Shishi alionekana mjinga na kazi yake ya ufundi gereji, anaingiza pesa kidogo isiyozidi elfu 20 anampa Shishi ambaye ana miliki mgahawa mkubwa pamoja na pesa zingine kupitia muziki na uigizaji ,lakini leo hii Uchebe kawa mtu mwingine kabisa kupitia huyo huyo Shishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…