Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 598
I stop reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
Duuuuh!hili bandiko naona kama kuna mtu umemlenga na kwako kapotea njia,na sasa unamchora tu huku ukiwa unatikisa miguu[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
I stop reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
Outing ya chips mayai hii 😁I stop reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu nao ni ujinga mkuuNIMEKUSKIA.NGOJA NITAIPELEKA KWENYE KIKAO CHETU.
ILA UKOME KUTUITA SISI WAJINGA, WANAUME SISI NI WALIMU/ MAFUNDI NA LENGO LETU NI KUILA PAPUCHI KWAIO USIZIDHARAU NJIA TUNAZOZITUMIA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jichange change ziongezeke mkuuThat’s why unanikazia nisikutoe out na Elf 10 yangu si ndiyo Fresh tu.
[emoji28][emoji28]Outing ya chips mayai hii [emoji16]
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..