legend Babushka JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 625 Reaction score 1,386 Nov 1, 2016 #81 Wengi wanapenda ngono ila kuzaa hawataki. Na wakizaa baada ya muda wanalaumu kuzaa utafikiri hawakuwa wana ubongo.
Wengi wanapenda ngono ila kuzaa hawataki. Na wakizaa baada ya muda wanalaumu kuzaa utafikiri hawakuwa wana ubongo.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,590 Nov 1, 2016 #82 hongera kwa kupata mimba ni jambo la kheri
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,030 Nov 2, 2016 Thread starter #83 Yona Edson said: hongera kwa kupata mimba ni jambo la kheri Click to expand... Mbona haviendani na topic?
Yona Edson said: hongera kwa kupata mimba ni jambo la kheri Click to expand... Mbona haviendani na topic?
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,030 Nov 2, 2016 Thread starter #84 legend Babushka said: Wengi wanapenda ngono ila kuzaa hawataki. Na wakizaa baada ya muda wanalaumu kuzaa utafikiri hawakuwa wana ubongo. Click to expand... Ni kweli kabisa sababu wengi hawataki umama mtu anaona akiwa mama keshazeeka tayari.
legend Babushka said: Wengi wanapenda ngono ila kuzaa hawataki. Na wakizaa baada ya muda wanalaumu kuzaa utafikiri hawakuwa wana ubongo. Click to expand... Ni kweli kabisa sababu wengi hawataki umama mtu anaona akiwa mama keshazeeka tayari.