Wanaume wengi ni 'sperm donors'

Ila wadada nanyi wavivu sana kufatilia hata tukalenda twenu, nakumbuka nilikuwa naruka sana pekupeku na mchuchu nikileta hoja za walinzi imara (ndom) hataki kusikia, siku aliyonasa ujawepesi kabla ya shoo nilisita sana hata baada ya shoo sikuwa na amani sana nilikuwa na mashaka kedekede, yeye hata hana wasiwasi, nikawa namwambiwa wewe tayari ushajaa anakataa wiki ya pili tu namwambia kapime anajivuta vuta alienda kupimwa na kukutwa yumo kwenye list ya wajawazito Tanzania basi kuanzia hapo nikasema huu usemi unamaana sana.
“It ain't what you don't know that gets you into trouble,”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…