Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
wamesha kuniniii....Hello jf,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kuwa wanaume wengi ni sperm donors na wababa ni wachache sana.
Wajinga tu,wanataka kua mabinti tu halafu age ikienda wako ndani ya ndoa wanahaha kutafuta watoto ya nyuma washasahau!Mi pia nimegundua wanawake wachache sana wanakubali umama . . .
Wengi sperms zinaishia 'toi'
Hasa vya ChuoniMi pia nimegundua wanawake wachache sana wanakubali umama . . .
Wengi sperms zinaishia 'toi'
Kuninii nini?wamesha kuniniii....
hakunaYamekukuta!! embu tuambizane ni wangapi wamekufanya incubator
Mbwa ukimjua jina, hakupi shida... We pokea tu hizo spermsHello jf,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kuwa wanaume wengi ni sperm donors na wababa ni wachache sana.
Mwe nini?mwe!
Eti eehMbwa ukimjua jina, hakupi shida... We pokea tu hizo sperms
ni kihisishiMwe nini?
Inabidi nawe ufungue uzi wako kuhusu huu utafiti ulioufanya.Utafiti
nimegundua wanawake wengi wamefanywa incubator
Okayni kihisishi
Yeah sperm donorsmmmh sperm donors??? napita tuu
Hello jf,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kuwa wanaume wengi ni sperm donors na wababa ni wachache sana.
Mi pia nimegundua wanawake wachache sana wanakubali umama . . .
Wengi sperms zinaishia 'toi'
Utafiti
nimegundua wanawake wengi wamefanywa incubator
Haahahaha joanah hahah umama sio mchezo lakini ...m nasemaga ukiamua kua mama sacrifice five years ya kua busy....wadada weng wa mujini wakifikiria hvyo mmh wanaamua wapeleke sperm toiii....Mi pia nimegundua wanawake wachache sana wanakubali umama . . .
Wengi sperms zinaishia 'toi'