Ni kweli bro......unakuta mwanzoni ulikua hum feel chochote sumtyms unamjibu vibaya sabab unakua umevimba kichwa kujua anakupenda. But yeye unakuta anakaa kimya na kuvumilia tu. Alaf unakuta later on hakutamkii tena kwamba anakupenda nd stuff like that ila kuna vitu flan anakua anakufanyia kuonyesha upendo wa dhati kwako. Honestly kuna siku machozi yalintoka nika apologise kwake of all the things i ever did to her.
Sumtyms mtu akikukosea usikimbilie kulipa ubaya ni vyema kujifunza kuumia ndani na kuendelea na wema tu. Trust me kuna siku atakujia na magoti.
Vipi? Uko nae mkuu?
Ila mkigongewa mnamaindi wakati upendo hauhesabu mabaya,haya unataka ujitoe kuliwa? Kama huwezi kuonesha upendo mwachie anayeweza usibane nafasi
Sasa PesaNdogo utakuwa unapingana na nature. Capt Nemo amenisahihisha kuhusu uchaguzi wa maneno kwamba kwa Africa, sisi ndiyo huanza kutongoza kwa kiasi kikubwa. Yawezekana ni 'from a first sight' au tayari ameisha fanya utafiti wa kina kuhusu tabia zako n.k. Kwahiyo si kwamba tunapenda nusu nusu bali ni kwamba tuna sita kudhihirisha hisia zetu mara ya kwanza tofauti na wanawake.
Na kudhibitisha hilo mwanaume huyohuyo ambaye unaona penzi lake halijaanza kuchanganya akiona viashiria vya we kuchepuka si ajabu anakuwa mkali mno. Maana yake ni kwamba anakupenda na anaelewa unayo mfanyia lakini ni kama yuko kwenye hali ya usingizi na ipo siku ataamka. Baadhi ya viongozi wa dini maarufu huwaambia wanawake wakiona wanaume zao hawako karibu nao siku moja wajirembe halafu wafanye kama wanatoka 'out'.
Katika kupima reaction ya mwanaume japo kwa binafsi yangu sidhani kama ni njia sahihi sana ya kutambua upendo wa mwanaume. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini wanatarajia yule mwanaume lazima ataanza maswali ya wivu mfano "mbona umependeza sana, unaenda wapi?" ambayo kwa mwanamke yaweza kutafsiriwa kuwa anapendwa. Kwahiyo kupenda ni kujitoa, umetelekezwa, mmeoana, umemuacha hayo ni matokeo. Kisicho riziki hakiliki.
Mnadhani kwanini miaka ya hivi karibuni wanawake wanachepuka sana, hiyo siasa ya kutoonesha upendo haifanyi kazi vizuri kizazi hiki.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa za ugumu wa kimaisha, wanaume kuchelewa kuoa na idadi ya wanawake inazidi kuongezeka duniani ukilinganisha na wanaume. Sasa hivi imefikia hatua ya baadhi ya wanawake kuwawinda wanaume wa kuwaoa au kuwapa mimba na kuna wakati wanataka kuolewa tu baada ya hapo "business as usual". Pia wanaume tuna mengi ya kujifunza kuhusu kuishi na mwanamke na kumpa kile anachotaka kwasababu mahitaji ya mwanamke na mwanaume katika uhusiano ni tofauti kabisa. Wakati huku mwanamke anataka vitu kama kumjali, kumsikiliza, kumheshimu, kumshirikisha katika maamuzi n.k. upande wa pili mwanaume anataka kumuamini, kumkubali, n.k. Sasa hii ya wanawake na wanaume kuchepuka ni pamoja na kusahau kama mahusiano ni mradi/project/art. Siyo kulala kitanda kimoja au kuoana, ni zaidi ya hapo. Siku hizi watu hawapewi mafunzo toshelezi ya mahusiano na hata vitabu hatusomi, unategemea nini hapo?. Leo Chiss Mauki yule mwalimu wa saikolojia pale UDSM anawaambia watu kuhusu sayansi ya mahusiano wanaduwaa kana kwamba ni siri kubwa iliyositirika pangoni.
Mnadhani kwanini miaka ya hivi karibuni wanawake wanachepuka sana, hiyo siasa ya kutoonesha upendo haifanyi kazi vizuri kizazi hiki.
Kwanza wanawake wanajito sana,wanakubadilisha kwenye future nzuri,mf mzuri,penny kamtafutia diamond mwl wa kiingereza,wema alikuwa akimsaidia kupractice ili awe na mafanikio zaidi,lkn ametumia hyo lugha kumtongozea zari,ukweli unabaki wanaume hawana mapenzi wala shukrani hata akuzalishe ni mwepec kusahau mema yako,uliyempenda hutakubali aumie
rafiki kila post yako inaniacha na maswali yasiyojibika, twende taratibu kwa mantiki zako
1. wanaume wanashindwa kuwaonyesha upendo/mapenzi wake/wapenzi wao
2.Kwa kutoonyeshwa mapenzi/upendo na waume/wapenzi wao basi wanawake wanaamua kuchepuka kwa ksi siku hizi
Swali: wanapoamua kuchepuka wanachepukia kwa jinsia gani?
Nah...that was like 5 years ago ilikuja situation tukawa mbali from each other. Kuna mtoto niko nae now ndio waziri wangu wa mambo ndani. Nimeoza nika expire kabsa. Lol
Siku hizi wanawake hawaogopi kuondoka wasipopata walichotarajia, kama ulikuwa unasema umempenda wakati unamtongoza hlf inabaki ni maneno huoneshi upendo bas anajua ulikuwa unataka wa kulala nae hivyo nayeye anakaa mguu nje mguu ndani kama wewe. Hizi ni nyakati tofauti, kuna mambo huwezi ukayafanya sasa kama zamani. Wanawake wa miaka hiyo wavumilivu na hawana hela inabidi wabaki tu kumtegemea mfadhili mwanaume hata kama haoneshi kujali.
Huelewi kipi, anakuacha wewe mpenzi wake akiaga kwamba anaenda msibani mkoani usimtafute hlf wanachepuka na mwanaume mwingine anayeonesha dalili ya kujali, hapa ndipo maplayer wanapofanikiwa kulala na wake za watu. Wewe mwenye mpenzi wako unajifanya hujali wkt kuna jamaa mwingine mhuni mhuni tu anamchombeza utapigiwa tu.
rafiki kila post yako inaniacha na maswali yasiyojibika, twende taratibu kwa mantiki zako
1. wanaume wanashindwa kuwaonyesha upendo/mapenzi wake/wapenzi wao
2.Kwa kutoonyeshwa mapenzi/upendo na waume/wapenzi wao basi wanawake wanaamua kuchepuka kwa kasi siku hizi
Swali: wanapoamua kuchepuka wanachepukia kwa jinsia gani?
so kama nimekuelewa ni kuwa kuna wanaume wanaojali na wale wasiojali, sio?
sasa huyu mwanamke anayechepuka huwa anajiuliza huyu anayemchepukia angekuwa anamjali angehatarisha maisha yake na ya ndoa yake kwa kumfanya mchepuko? unachoita kujali hapo mimi nakiita selfishness...kama anataka kujua ni kiasi gani mchepuko wake unampenda basi asuggest kuwa anataka akaombe talaka ili waoane jumla huone jamaa atareact vipi na wanawake wanaochepuka lives in fools' paradise, huishia mikononi mwa pretenders..na huishia kufanyishwa mapenzi ambayo mume wake akimwambia wafanye basi case itafika kwa wazazi..and serves them right!!!
Women want little things mpk ml ipoanza kushindwa kuwapa wakaanza kutaka big things, big money, big cars, big houses and what have u big everything.
Mngejua ni vitu vidogo vidogo kama kusema asante, pole, samahani, kumletea hata kigauni, kusema umependeza, kutoka out hata kunywa maji, kumjulia hali akiwa mbali, kuaga ukienda sehemu, kumuelekeza asichojua. .. havikosti hata elfu moja tshs. Hata muuza nyanya akiwa anamsifia kila akimwona ooh we mzuri n.k itakula kwako ataangalia na mwingine mwenye hadhi ya juu kidogo akimsifia tu kumjulia hali n.k kamoyo kanaanza kuhama upendo wake kwako unapoa. Shida kubwa hata ufanyaje when a woman is fed up inakuwa ngumu kwako hata umwambie mchepuko sio dili lkn ndo anampa faraja unayoshindwa kumpa utaumia roho bure anza kuonesha upendo uone
Hizo ni vurugu za mwanamke zinazoletwa na utandawazi aka 50/50. Sina ugomvi nanyi wanawake....nikiona viashiria vya jeuri yako nitakukunjua. Ukigomesha/kubisha na kunionesha majigambo yako ya "*.unaweza.*"nakupa go ahead. Siwezi kuumiza kichwa mim.
Ok! Nimekusoma mkuu. Dah! Kuna wadada wengine wavumilivu mpaka unakuwa mpole hata kama ulikuwa na moyo mgumu namna gani.
Women want little things mpk ml ipoanza kushindwa kuwapa wakaanza kutaka big things, big money, big cars, big houses and what have u big everything.
Mngejua ni vitu vidogo vidogo kama kusema asante, pole, samahani, kumletea hata kigauni, kusema umependeza, kutoka out hata kunywa maji, kumjulia hali akiwa mbali, kuaga ukienda sehemu, kumuelekeza asichojua. .. havikosti hata elfu moja tshs. Hata muuza nyanya akiwa anamsifia kila akimwona ooh we mzuri n.k itakula kwako ataangalia na mwingine mwenye hadhi ya juu kidogo akimsifia tu kumjulia hali n.k kamoyo kanaanza kuhama upendo wake kwako unapoa. Shida kubwa hata ufanyaje when a woman is fed up inakuwa ngumu kwako hata umwambie mchepuko sio dili lkn ndo anampa faraja unayoshindwa kumpa utaumia roho bure anza kuonesha upendo uone
Kama ww mwanamke, mumeo au mpenz wako hakutendei vile ww unapendaaa, na unaona hakika ya kupata unachokikosa pande ya pili...., huna haja ya kuchepuka. CHUKUA/TOA TALAKA..
na uwe huru kuwa na bwana mwingine. Au...usiolewe ili uendelee kumtafuta mwanaume atakaekufanyia upendavyo. Itakuwa heri yako mwanamke.